Acha kuteseka na Amoeba, njoo nikupe dawa

Acha kuteseka na Amoeba, njoo nikupe dawa

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Napenda niwasalimie wana jamii forums,natumai hamjambo,kama unajihisi hauko sawa kiafya basi nikupe pole.
Wapendwa,naomba niwasaidie watu wenye shida ya amoeba,kiukweli ni ugonjwa ambao unakosesha aman,
Nyabiri tiba asilia ni kituo cha tiba kwa kutumia dawa za asili,karibu nikusaiadie.
Naomba xaxa nikueleze kidogo kuhusu AMOEBA/AMIBA.

Amiba ni ugonjwa gani?
ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu. Ugonjwa huu huweza kuhathiri hadi uti wa mgongo pamoja na ubongo hivyo kupelekea mtu kupata matatizo ya akili pamoja na mgongo.

NJIA ZA KUPATA

kula matunda bila kuosha

kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni

kula chakula bila kuosha mikono

kunywa maji yasiyochemshwa

WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI;

Wasafiri

Mashoga

Wanafunzi

wafanya biashara sokoni

Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana kuwa mwengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa na kuishi katika artdhi kwa muda wa wiki nne.

DALILI ZAKE
Tumbo kuuma kwa chini

kuharisha choo kilichochanganyika na kitu kama kamasi

kupungua uzito

homa

utumbo mkubwa kutanuka

MATIBABU

Ikimusi pamoja umunyole ni mimea inayojiotea msituni, mimea hii na mingine kwa pamoja inafanya kazi nzuri xaana ktk kutibu tatizo la amiba. dawa hizi huua na kuondoa bakteria wasababishi wa ugonjwa huu na mgojwa hupona kabisa.
mimea hii haichanganywi na kemikali yoyote isipokua yenyewe.mimea hii imenipa umarufu mkubwa kutokana na kutibu watu wengi saana ambao walikua na shida hio kwa muda mrefu na wengine walikua wametumia dawa za antibayotiki bila mafanikio.

Unapotumia hii dawa siku tatu za mwanzo utaharisha na kutoa uchafu wa kila aina ambao hata wewe ukiuona unaweza kujishangaa,baada ya hapo utafunga kuharisha na utaendelea kuinywa kwa siku zingine tano mbele na baada ya hapo nenda kapime uniletee majibu.

Kama unasumbuliwa na tatizo hili haijalishi umekaa nalo kwa muda gani wewe nitafute kupitia email nyabiritibaasilia@gmail.com
au kwenye blog http//nyabiritibaaslia.blogsport.com
Au unaweza kunipigia simu moja kwa moja 0743 708 675

K A R I B U N I N Y O T E
 
Napenda niwasalimie wana jamii forums,natumai hamjambo

Amiba ni ugonjwa gani?
ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu.
K A R I B U N I N Y O T E

Mkuu naomba urekebishe kidogo kwenye red ni Entamoeba Histolytica na pia ni protozoa na sio bakteria ndugu yangu
 
Niwekee picha ya huo mmea nikautaute mwenyewe maporini harafu uniambie wanachanganyaje baada ya kupona nitakulipa kiasi ambacho ni harali kwa maelezo yako Sawa mkuu. Me nasumbuliwa na huo ugonjwa na nimejaribu mpaka kutumia miarobaini lakini wapi. Nimebaki nategemea uponyaji wamungu tu
 
Je ni kweli mtu mwenye amoeba atakiwi kunywa maziwa? Kwani kuna watu wanaSema ukinywa maziwa na una amoeba unaarisha.
 
Back
Top Bottom