Mafisi yameshiba kwenye kambi yao yanaanza kuleta ujuaji na kujidai kwamba yenyewe hayaibi 😂😂😂Moja ya sababu kuu kwa nini biashara ndogo ndogo hufungwa ni wizi wa wafanyakazi.
Unapomwibia mwajiri wako, unakausha mkondo ambao umekuwa ukimwagilia maisha yako na familia yako.
Ikiwa unaomba hongo na pesa kwa kutumia wadhifa wako serikalini, ujue unaibia umma. Ipo siku , wewe pia utateseka wakati majambazi, vibaka ama panya road watakapovamia gari ama nyumba yako ili wajipatie mali zako waondokane na umaskini uliowasababishia kwa wizi uliofanya hapo nyuma.
Amri ya 8 katika Biblia inaonya : Usiibe.
Na Waefeso 4:28 inasema, “Ikiwa wewe ni mwizi, acha kuiba.”
Tafadhali ripoti risiti kwa usahihi.
Acha kumdharau mwajiri wako.
Ripoti zawadi zote zinazotolewa na wateja.
Acha kuchukua vifaa kutoka ofisini kwako na kuvitumia kwa matumizi yako binafsi.
Acha kutumia kadi za mkopo za kampuni kwa manunuzi ya kibinafsi.
Acha kughushi saini.
Acha kughushi hesabu.
Mungu atakuwajibisha kwa mikataba ya siri yenye kukupatia manufaa binafsi.
Kumbuka ukiwa mwaminifu kwa machache, Mungu atakukabidhi mengi
Luka 16:10. Uwe mwaminifu kama Yusufu na utapandishwa cheo.
Fanya kazi kana kwamba unamtumikia Mungu, si mwajiri wako - Wakolosai 3:23.
Utabarikiwa ukiachana na wizi. .
Hao wapo wengi sana kila siku kiguu na njia wapige helaUzi wa manufaa sana huu
•Acha kulazimisha kupata safari ili kujipatia safari imprest
Kwa hiyo unashauri tuvunje kambi?Mafisi yameshiba kwenye kambi yao yanaanza kuleta ujuaji na kujidai kwamba yenyewe hayaibi 😂😂😂
Kwa nini sasa kapigwa ban?
SawaSawa
Ikiwezekana au mchanganye fisi na mbweha kwa pamojaKwa hiyo unashauri tuvunje kambi?
Tunajadili kuhusu kuacha wizi mkuu.'huko vitani watu wanavyouliwa, kwa nini Mungu hatokei?'
Shetani ndie uuwa watu,watu wa Mungu awajui watuHivyo vitabu vyote vilikuja kwa malengo maalumu; kwa ajili ya utumwa, ukiwajengea hofu watu ni rahisi kuwatawala.
Ulishawahi kujiuliza swali, 'huko vitani watu wanavyouliwa, kwa nini Mungu hatokei?'
Ni nani alisema ule ni wizi, na kwa nini alisema ule ni wizi?Tunajadili kuhusu kuacha wizi mkuu.
Haiwezekani kuivunja kambiIkiwezekana au mchanganye fisi na mbweha kwa pamoja
Shetani yukoje, ni mzungu, mtu mweusi au, na ulimuona wapi?Shetani ndie uuwa watu,watu wa Mungu awajui watu
Hahaha labda kambi ya upinzani ila kambi ya fisi akija simba wote mnatawanyika😂😂Haiwezekani kuivunja kambi
Shetani ni roho anaweza akachukua mwili wa mzungu, mwafrika, mwarabu nk.Shetani yukoje, ni mzungu, mtu mweusi au, na ulimuona wapi?
Kwa sababu shetani ndiye aliyewaonesha dili kisha waliinyimwa dili wakasema ni wizi ila kiuhalisia wezi wote ni zao la shetani.Ni nani alisema ule ni wizi, na kwa nini alisema ule ni wizi?
Kisayansi tunaweza kuthibitishaje?Shetani ni roho anaweza akachukua mwili wa mzungu, mwafrika, mwarabu nk.
Shetani unamuona kupitia matendo ya wanadamu
Shetani yukoje, na ulimuona wapi?Kwa sababu shetani ndiye aliyewaonesha dili kisha waliinyimwa dili wakasema ni wizi ila kiuhalisia wezi wote ni zao la shetani.
Fisi ndio hupora mlo wa Simba na sio Simba kupora mlo wa fisi.Hahaha labda kambi ya upinzani ila kambi ya fisi akija simba wote mnatawanyika😂😂
Sayansi bado inakua haijafika mwisho Kama zilivyo elimu zingine.Kisayansi tunaweza kuthibitishaje?