Acha kulalamika kila siku

Acha kulalamika kila siku

Unajua kuna msemo mmoja unasema hivi " if something is wrong it is wrong, even if evryone does it. If something is right, it is right even if nobody does it"

Tunaovuruga haya ni sisi wenyewe kwa kulishana sumu na mwisho wa siku ndio vurugu zote hizi. Mimba zisizotarajiwa kufumaniana magonjwa na kero nyingine nyingi tu.

Umenena vema....
 
Ina maana ulaya hawa-cheat au wote wapo kwenye group A alilotaja mleta thread.Acha mawazo ya kizamani nani kakwambia hao watu ni perfect katika kila kitu.

Aidha wewe ni kizazi cha division 5 ama akili zako ni za msimu, ndo maana huwezi elewa maana halisi ya huo msemo! BTW... unayapimaje 'mawazo ya kizamani' ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom