Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
huyo mtu kene avatar ako nampenda sana
me too ..namfeel sana
huyo mtu kene avatar ako nampenda sana
me too ..namfeel sana
napenda ile nyimbo ya try sleepin wid a broken heart asee dah huyu dada
Mi ile ya "women on fire" kwakweli tuna kazi sana wanawake mungu na atuongoze tu yan..
Mapenzi kabla ya/nje ndoa kwa namna yoyote ile sio sahihi.
asee ni mungu tu
Some years ago that was possible but nowdays mhm niwachache sana !!!!!!!!!!!!!.....
Samahani lakn;Tofauti kati ya MAPENZI NA NGONO ni ipi?
No option kwenye aina za visingizio..as far umeamua kuingia kwenye mahusiano yenye malengo chanya. Naamini kipengele (A ) kimezungumia vzr.
Hebu fikiri, una date au unaingia kwenye mahusiano na mtu hujui anaishi wp? Anafanya nn?? Anaogoopa kwenda baadhi ya sehemu na pia mnakutana guest au hotel.Then ukiwa hearted ,mwanamke unasema mapenzi mabaya.
Unajua kuna msemo mmoja unasema hivi " if something is wrong it is wrong, even if evryone does it. If something is right, it is right even if nobody does it"
Tunaovuruga haya ni sisi wenyewe kwa kulishana sumu na mwisho wa siku ndio vurugu zote hizi. Mimba zisizotarajiwa kufumaniana magonjwa na kero nyingine nyingi tu.