Acha CHADEMA kiwe ni chama cha Wenye akili

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Posts
3,402
Reaction score
320
Mara nyingi CCM imetutesa toka ujana wetu acha CHADEMA waseme,
hawaipendi CHADEMA na kuipaka matope, lakini hawaiwezi,
CCM, imekula mgonngoni mwetu na wamejitarisha sana
na kujilimbikizia mali, acha CHADEMA wawe wakombozi wetu sasa,
CCM, waaibishwe na kurudishwa nyuma pamoja na wale wote
wanaoichukia CHADEMA,
Na wawe kama majani ya darini yakaukayo kabla hayajamea,
na wasiokumbukwe kamwe hata wajapopotea kwenye uso wa siasa,
 
Ni kweli CCM ni chama ambacho naweza kusema ni kikongwe maana kina muda mrefu madarakani na ndio maana wamebweteka na kujiona kuwa hakuna chama cha kuwangoa, huwezi kuamini mtu kama Makamba anasema CCM ndio baba na ndio mama iweje leo wajiuzulu na kuwaachia wengine, kwanini wasiendelee mpaka wafe hivi mtu anaweza kutafuta mzazi kwa kumchukia aliyemzaa... wanajamii wenzangu tusaidiane..
 
Chama kishakufa na jana walikuwa wanagawana mali za marehemu kule dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…