ACE Africa Arusha ni Wakina nani?

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Habari wadau,

Kuna anko wangu ameitwa interview na shirika linaitwa Ace Africa lililopo Arusha,naomba kama mwenye ufahamu juu ya mazingira ya kazi,mafao nk hali ikoje.

Note: Profile ya shirika ameshaipata baada ya kutembelea website yao,anachoomba msaada ni hali halisi ya maisha ya kazi n.k

Shukrani kwa wote!
 
Back
Top Bottom