Mkuu, ni shift of economy.Kuna ishu moja kubwa sana hivi kila kazi ikiwa automated....nani atakuwa mnunuzi wa hizi bidhaa
Kwa maana hakuna kazi iliyosalama mbele ya robots.
Mkuu, ni shift of economy.
Demand ya accountants inapungua huku demand ya professionals wa hizo teknolojia ikiongezeka.
Hata kazi zako zikiwa automated kiasi gani, bado nafasi ya binadamu iko pale pale. Tayari zipo accounting packages kibao zenye uwezo wa kufanya mengi ikiwemo hayo ya kuandaa hizo financial statements, na mengineyo, lakini uangalizi wa binadamu lazima uwepo. Systems zita automate na record nyingine zitaendelea kuingizwa manually kwenye vitabu. Katika mambo sensitive kama rekodi za kiuhasibu huwezi kutegemea automated systems pekee, lazima kuwe na dual data/record keeping.
kwa hiyo na auditing firms hazitakuwepo?
garbage in garbage out
Hata zamanai walihisi computer itafuta kazi kumbe zikatengeneza kazi.Kuna ishu moja kubwa sana hivi kila kazi ikiwa automated....nani atakuwa mnunuzi wa hizi bidhaa
Kwa maana hakuna kazi iliyosalama mbele ya robots.
Kazi ya kudesign hayo Marobot nadhani ndiyo salama zaidiKuna ishu moja kubwa sana hivi kila kazi ikiwa automated....nani atakuwa mnunuzi wa hizi bidhaa
Kwa maana hakuna kazi iliyosalama mbele ya robots.
Kazi ya kudesign hayo Marobot nadhani ndiyo salama zaidi
Mkuu, mimi sikumaanisha demand ya IT professionals kwenye maofisi itapanda sana.huko ni kujidanganya.. IT huwa haitaki wafanyakazi wengi.. mfano hai angalia ofisini kwenu IT dept ina watu wangapi..
whatsapp , facebook au google ni apps zinazohudumia dunia nzima.. ila ofisi ni staffs wachache sana kulinganisha na wateja wao kibao..
kampuni hata iwe kubwa vipi kila ilipo duniani lazima iwe na mhasibu... aka accounts dept.. lakini kampuni za IT kina google hazina hiyo changamoto..
system adminstrator mmoja anahudumia hata nchi nzima... ila kiuhasibu haiwezekani
hospitali theatre itakuwajeKuna ishu moja kubwa sana hivi kila kazi ikiwa automated....nani atakuwa mnunuzi wa hizi bidhaa
Kwa maana hakuna kazi iliyosalama mbele ya robots.
People can do without KiswahiliVipi sisi walimu wa somo la kiswahili, technology inaweza tuathiri na Siye tujiandae kisaikolojia