Habari wadau..
Binafsi ni mhasibu kwa taaluma..
Nimesoma research ya PWC, research ya Oxford university, research ya kpmg, na research nyingi za vyuo tofauti..
Zinaonesha kwamba IT technology aka robot accountant ndio watafanya kazi za uhasibu zote kuondoa human error na ku cut cost... sababu uhasibu ni jobs zinazofata principles.. so ni sahihi na rahisi kuweka principles kwenye software au erp, yenyewe ikatengeneza Financial statement na kila report hadi hesabu za kodi bila makosa kuliko kuendelea kutumia binadamu.
Wanahisi miaka inayokuja mahitaji ya wahasibu yatapungua sana na kufikia 10 yrs to 20 ijayo ndio hatutahitajika tenaa.
Na hii itaendana na taaluma zote ambazo zinafata principles kufanya kazi.. eg. bank tellers watakuwa replaced na ATM zinazo deposit hela na kutoa hela na cashless payment inayo grow kwa kasi
Link ya PWC hii hapa
Accounting jobs most at risk from automation, warns PwC | Accountants Daily
Oxford university link
47% of Jobs Will Disappear in the next 25 Years, Says Oxford University
Na dalili zimeanza kuonekana Tanzania mtu una CPA ila mwajiri anaringa anakwambia mshahara mdogo sana na kama hutaki acha kazi... sababu anajua hatuna umuhimu kama zamani sababu ya technology....