mwambadog
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,736
- 1,447
tuangalie vitu kwa upana.. siku hizi dunia kama kijiji.. changes kidogo inatugusa wote ndio maana hata ifrs inafata principle zinafanana hata uwe nchi gani...
na makampuni mengi ni yanasave dunia nzima na makao makuu yao yapo majuu.. mfano voda, tigo, total, puma, standard chartered... so group head office ambazo zipo majuu zikiamua kwamba tunaweka system tunaondoa wahasibu... dunia nzima ilipo hiyo kampuni lazima watafata uamuzi wa head office....
Umewahi fanya katika hizo kampuni? je kwanza huajiri asilimia ngapi ya wahasibu wote wa kitanzania? don't be general some times, muda flani uvivu hukupa imani fake,
technology ipo na itaendelea kuwepo na kubadilika. tanzania ni nchi changa ki uchumi bado inatuitaji tuijenge kwa nguvu zetu, na si kwa uvivu na kuamini 'robot"