Nahitaji msaada ni software ipi itanifaa katika transaction zangu...mana nature ya biashara yangu ni mills,store,bar and restaurant.... Mana company yangu nafanya vitu vyote kwenye madaftari...
Nahitaji msaada ni software ipi itanifaa katika transaction zangu...mana nature ya biashara yangu ni mills,store,bar and restaurant.... Mana company yangu nafanya vitu vyote kwenye madaftari...
Ushauri wangu!!
Waweza tumia excel kama una laptop ni nzuri ila kama huna knowledge ya account nadhani itakuwa changamoto kidogo kwako kuandaa mpangilio mzuri wa kazi zako!
Pia kama unatumia simu/tablet unaweza pakua app iitwayo Google Sheets ni kati ya app nzuri sana naifurahia sana na inarahisisha kazi zangu nyingi sana hii unaweza fanya kazi zote ambazo ungeweza kuzifanya kwenye excel
Pia kunazo accounting apps mbalimbali ambazo ni free na zingine za kulipia unazoweza pakua na zikarahisha kazi zako!
Mkuu cheki na hizi sofware ambazo unakuta wameshakuandalia kila kitu inabaki kazi kwako kuweka data tu
1. Manager
2. Wave Accounting
3. Express Accounts
4. Ledgerlite
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.