Accounting packages za Pastel na Quickbooks

Accounting packages za Pastel na Quickbooks

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
323
Reaction score
106
Wasalaam wanaJF,
Nahitaji msaada tutan kwa mwenye kujua wap naweza kupata hizo accounting software nilizotaja hapo juu au kama unayo hata mojawapo kati ya hizo,nazihitaji mwenyewe na sio kampun wala taasis!!
 
Mi ninazo mkuu hizo zote na software nyingine yeyote unayohitaji. Njoo PM tuongee
 
sisi tuna tengeneza softwre aina zote ina tegemea matumizi yako una itajiya aina gani
 
Wasalaam wanaJF,
Nahitaji msaada tutan kwa mwenye kujua wap naweza kupata hizo accounting software nilizotaja hapo juu au kama unayo hata mojawapo kati ya hizo,nazihitaji mwenyewe na sio kampun wala taasis!!

Ninayo Quickbooks Pro 2013
 
Ni sawa mshumbusi,ila uhitaji wangu uko sana kwenye hizo nilizozitaja
 
Nazihitaji kabisa mkuu ila tu hiz siku za wiki nakua jimebanana sana,kesho nitakua mjin nadhan nitakutafuta
 
Back
Top Bottom