Accounting Package for Travel agent

Kamawewe

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
531
500
Habari great thinkers

Kuna sehemu ninatakiwa kutoa maoni yangu kuhusu mapendekezo ya mfumo bora wa kihasibu kwa ajili ya travel agent company ambayo inanunua tour packages kutoka kwa other tour operaters, inauza kwa customers with additional cost(commision).

Ninaomba mawazo yenu ya mfumo mzuri wenye uwezo wa kufanya kazi zifuatazo:
1.Kuweza kurekodi manunuzi na kulipa matumizi mbali mbali.

2.Kuweza kurekodi na kuripoti mauzo(daily,monthly and annualy)

3.Kuweza kutoa repoti mbali mbali kwa ajili ya matakwa ya kisheria na internal controls e.g Anual financial reports, SDL PAYE and VAT, NSSF contributions ,monthly financial return and peformance reports.

4.Ikiwezekana pia utumike kama tool ya marketing au sales module yake iweze ku intergrate na marketing website.

Ninatanguliza shukran
 
Hapa fafanua vizuri ni "Travel Agent" au "Tour operator"

Pili application nyingi za accounts katika mambo ya Tours huwa hazijawa intergrated na PayRoll, au kama inayo utakuta haijitoshelezi kwa hivyo inakubidi kutumia separate PayRoll software.
 
Alichosema ymollel ni sahihi ila unaweza ukaiangalia quickbook inaweza ikakidhi 90% ya uyatakayol
 
Back
Top Bottom