Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Tangu sasa unabatizwa kwa muhuri wa moto utaitwa Nabii britanicca
 
Tone Tone na uchangishaji usio rasmi wa fedha ni njia ya kutakatisha fedha.
Yaani mnapewa fedha na walami halafu mnajidai mnataka kuvuruga uchaguzi.
Hamkatazwi kupewa fedha lakini mkumbuke fedha hizo zikishaingia kwenye akaunti ni mali ya umma na lazima zifuate taratibu za kisheria za matumizi ta fedha.
CAG afanye ukaguzi maalumu kutambua fedha zilizopo kwenye akaunti ya CDM zinetokea wapi?
 

 
Ninachojua mimi akaunti za Chadema zinazopokea ruzuku toka Serikalini ndio zitafungiwa. Hilo ni uhakika.
Sasa kama na pesa za tone tone zinaingia humo, hilo sio kosa la Msajili wa Vyama vya Siasa atakapozifungia akaunti.
 
🙋👍🤝🙏🎖️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…