Taylor king
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 102
- 128
Habari zenu great thinkers! Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza Mwaka wa masomo 2017/2018. Wiki mbili zilizopita tuliopata mkopo batch ya pili tuliambiwa tukasign ili tuweze kupewa fedha zetu. Tulisign na pesa zikaingizwa kwenye account zetu. Sasa juzi batch ya tatu wamepewa fedha zao na mimi kwenye account yangu fedha zikaingia tena kwa mara ya pili. Kwa kawaida inatakiwa niwe napewa laki tano tu kila semester Kutokana na asilimia ya mkopo wangu. Nachotaka kujua inakuaje hapo kwenye hizo fedha za mara ya pili ntadaiwa au? Nawasilisha!