Usikute wewe ndo wale wale, wanaume wa Dar....mwanamke akikuambia 'Honey' tu unakimbilia ATM kumchotea milioni bila hata kuambulia gegedo bali ahadi tu huku ukijisifia mtaani kuwa ni mjanja.
Aaah
Kwamin hapo labda hiyo mguu angebana mifuko yangu yote ndo hela ningempa.
As long as mfuko mmoja upo free zinawekwa fasta tyuuu[emoji109] [emoji109] [emoji109]