jackson charles bullet
Member
- Mar 11, 2016
- 53
- 45
Naomba kuhuliza najua umu kuna kaka zetu na dada zetu wenye uwelewa mpana hivi mtu aliyesoma account and finance amamzidi vitu vingi mtu aliyesoma account pekee naomba mnijuze nipo njia panda nisome account and finance au nisome account tu
Naomba ushauri wenu watu mliosoma masomo ya biashara
Najua kuna watu wataziaki wengi mtatukana mm cjari hayo Wengine makwetu akuna watu waliosoma ndomana tunakuja uku kuomba ushauri
Naomba ushauri wenu watu mliosoma masomo ya biashara
Najua kuna watu wataziaki wengi mtatukana mm cjari hayo Wengine makwetu akuna watu waliosoma ndomana tunakuja uku kuomba ushauri