Account and finance Vs Account

Account and finance Vs Account

BAF mi nilisoma.

Accounting
1.Accounting 1
2.Accounting 2
3. Accounting 3
4.Accounting 4
5. Management accounting
6. Cooperative Accounting

Finance
1.Financial management
2.cooperate finance
3. Public Finance
4. Tax
5 .Audit
6. Cooperative Audit
7. International finance
8.
 
hujui ukisemacho....na hio ndio tofauti ya udsm na mzumbe,mtu anayesoma b com accounting hafundishwi kwenda kuwa muhasibu bali anafundishwa kwenda kuwa manager ,na hapo nazungumzia kwenda kufanya maamuzi katika taasisi so kusema eti ukisoma accounting utakuuwa muhasibu na utakosa soko la ajira kwa kuwa vitu viko computerized ni uongo kwan maamuzi ni pale kurecord kufanya analysis na ku take action na sio ku record tu transaction
kua maneja? naomba unifafanulie vizur bro
 
BAF mi nilisoma.

Accounting
1.Accounting 1
2.Accounting 2
3. Accounting 3
4.Accounting 4
5. Management accounting
6. Cooperative Accounting

Finance
1.Financial management
2.cooperate finance
3. Public Finance
4. Tax
5 .Audit
6. Cooperative Audit
7. International finance
8.
bro umesoma chuo gan?
 
kaka kwa ushauri wangu fanya finance. Ina advantage sana kama utaamua kuchukua CPA baadae utakuwa unaonekana umesoma vitu tofauti tofauti zaidi ya yule wa accounts. Na pia usitishike kwamba utakuwa nyuma sana wakati wa kuchukua CPA mtatofautiana masomo mawili tu na mtu wa accounts. Pia finance inakupa wigo wa kufanya kazi za kifedha na ki uhasibu pia.
 
Aliyesoma Finance huanzia Foundation Stage ya NBAA. Usimpotoshe dogo Letu. Accounting huanzia Intermediate Stage

Ethos- the Job hunter
 
BAF mi nilisoma.

Accounting
1.Accounting 1
2.Accounting 2
3. Accounting 3
4.Accounting 4
5. Management accounting
6. Cooperative Accounting

Finance
1.Financial management
2.cooperate finance
3. Public Finance
4. Tax
5 .Audit
6. Cooperative Audit
7. International finance
8.
Mbona almost course zinafanana na zile nilizosoma udsm bcom accounting...sema Huku ndani Huku kuna kusoma marketing,HR,na hata finance tunaisoma kila mwka japo kuwa tupo bcom accounting..na hata hyo international finance tumepiga
 
kaka kwa ushauri wangu fanya finance. Ina advantage sana kama utaamua kuchukua CPA baadae utakuwa unaonekana umesoma vitu tofauti tofauti zaidi ya yule wa accounts. Na pia usitishike kwamba utakuwa nyuma sana wakati wa kuchukua CPA mtatofautiana masomo mawili tu na mtu wa accounts. Pia finance inakupa wigo wa kufanya kazi za kifedha na ki uhasibu pia.
Aliyekwambia mtu aliyesoma finance Ana advantage kubwa kwenye CPA zaidi ya Yule wana accounting ni nani? Afu muomba ushauri hajasema finance kasema bcom finance and accounting verses accounting nyie mnaleta mambo ya finance tu hapa
 
Mimi binafsi najua almost hazina tofauti sana...ila binafsi nimesoma udsm bcom accounting na tunasoma vitu vingi sana vikiwemo auditing,taxation, marketing tofauti tofauti, hr, na Masomo ya computer humohumo yaan ni pana so hata ukiisoma si mbaya japo hata hyo bcom accounting and finance iko vzuri ila ungeisoma mzumbe..japo kwa masomo yao sioni kama kuna utofauti kivilee...wee jaza hzo mbili mwanzoni utakapochaguliwa then kherii ila kwa hvyo vyuo
 
sure hayo ni majina tu,mimi nimesoma ifm ilikua inaitwa ADA (advance diploma in accountancy) ni sawa tu na Accounting & finance ya mzumbe ,similar na b com accounting ya UDSM,vyote hivyo ukisoma unakua accountant ila paka upite nbaa,wakucertify...welcome to the world
 
Back
Top Bottom