According to your Ex, what was your main problem?

😂😂
 
Alinambia namtesa, nimuache
 
Mwanamke anataka m care je atawa care watoto saa ngapi, ukimgundua mwanamke wa aina hiyo ujue ni bomu.

Yaani wkt anatakiwa aku take care mumewe anataka yeye. Ogopa sana mwanamke, akikuita baby. Ujue anataka mtake care, Wala usiitikie
Halafu mimi huwa najihisi ni mgeni kabisa hapa duniani.
Msichana hata nimkubali vipi, akishaanza kuniita baby huyo anakua amenifungulia mlango wa kuachana naye.
Maana lazima nitamwambia sitaki aniite huo upuuzi wake, asiposikia basi wala hata sigombani ila ndiyo basi
 
Sijapata huo Muda wa kudiscus hivyo vitu kwanza.


Mimi ni mtu wa vitendo ukivimba navimba Ukizama nazama ukienda Moja kwa Moja namimi hivyo hivyo ila sifuti namba najua Kuna siku Moja tutapasha na sijawahi kuulizia hivyo.
 
Huwa sifikishi dakika mbili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…