Achieng atakuwa kadanganya umri.... Kwa mpira ule anaocheza kama hana miaka 21 basi ni 22 au 23. Hiyo 28 anadanganya..... Mayele alimuona kwa karibu anaweza kuelezea vizuri shughuli yake.
Sio kila kinachowekwa youtube ni cha maana.kuna Video youtube inamuonyesha shabiki wa Uto anakojoa jukwaani uwanja wa Mkapa iyo video wala haina maana.