Access JF via your mobile

We are working on making it more user friendly.

Mkuu, please make mobile version selectable, do not simply impose it based on detection. Alternatively, if this can't be implemented, then give an option to switch between the two at the bottom of page or elsewhere following a complete rendering of page. This should give freedom to some who are on wifi and aren't restricted by network speeds. Many thanks!!!
Noted, working on it... Restructuring everything anyway
 
Done, please RELOAD your pages using your mobiles. It's now customized as per some recommendations (sent via PM and proposed here).
 
Have reloaded... much much better now mkuu. It's superb!! (i mean it & u know how picky i am!). Well done Mzeeiya!!
 
Done, please RELOAD your pages using your mobiles. It's now customized as per some recommendations (sent via PM and proposed here).
Mchina wangu ananiboa sana hapa. ngoja niipige chini nikachukue the thing
 
Some members wanted to have a mobile version for JF which will be loading fast.

We are happy to introduce a new version aimed at small screen devices such as Windows Smartphones, Nokias and even iPhones.

It has VERY low bandwidth requirements.

We are working on making it more user friendly. You can post new topics, can reply to existing threads etc.

Asante sana Invi', natumaini sasa, JF ndio itaongoza kwa ma-breaking news.

Thanks again, ila kitufe cha thanks, bado!
 
Hizo browser 5 ni zipi ndugu? Mimi natumia Opera Mini pekee!

I use an android based phone... (and just for the record, I do freaking luv it! :lol:)
Simultaneously I can run: Dolphin HD, xScope Lite, Skyfire, Infinity and native inbuilt browser with possibility to run many more !!! They differ in feature and rendering speed.

If in use of Nokia phones, i suggest you get Skyfire, and of course Opera Mobile (currently vers. 10 if not mistaken). Hizi zote mbili zinaweza kurun kwenye nokia (symbian based) without a problem plus the native nokia browser, making it three browsers.
 
Invisible,

Napata shida kidogo, natumia nokia ya kizamani, ila nimo na kitufe cha thanks humu bado.
 
Invisible,

Napata shida kidogo, natumia nokia ya kizamani, ila nimo na kitufe cha thanks humu bado.
Suala si aina ya simu, thanks kwenye simu tumeijaribu haikuwa kama tulivyotaka; tunalifanyia kazi mkuu
 
Invisible,

Napata shida kidogo, natumia nokia ya kizamani, ila nimo na kitufe cha thanks humu bado.
Mkuu Pasco, nami nimeijaribu kwenye nokia (symbian s60), overall mwonekano ni mzuri na threads na posts zimejipanga vizuri... button ya thanks ndiyo ina miss. Naona wengi wanaihitaji hii... lol
 
Thanks invisible,
sasa tutaweza kushiriki mijadala hapa jamvini kwa wingi; wengi wetu tulikuwa tunapata taabu ya Internet access hasa unapokuwa likizo Bongo.
BRAVO Invisible and the team!
 
Mkuu Pasco, nami nimeijaribu kwenye nokia (symbian s60), overall mwonekano ni mzuri na threads na posts zimejipanga vizuri... button ya thanks ndiyo ina miss. Naona wengi wanaihitaji hii... lol
Steve, natumia N.97, maandishi ni madogo sana, nikiyakuza kidogo, yana overlap screen, ila nilipojarudi kurudi kwenye mche wa sabuni, E.90, ni perfect, ukikuza maandishi, yanajialign kwenye same screen bila overlap.

Hii mobile service ina kitu ingine bomba kule kawaida haipo, ukiclick kurudi top, inakupeleka straight kwenye new post.

Japo sijahesabu, ya kawaida inalink only 20 new posts per page, hii mobile naona zinamwagika tuu kama RSS, ukiende chini, zinazidi kufunguka!.

This is really good.

Naomba pia kuchukua fursa hii, kuwapa mbinu za kulipia bili ndogo ya simu kwenye mobile innternnet bila kuumia, kwangu imetokea tuu by chance, ila sasa naifaidi internet ya almost bure.

Kwa kutumia simu za N.Series, kama wewe unatmia mtandao wa Zain, ondoa sim card yako ya Zain, nunua sim card ya Voda, itakudirect namna ya automatic set up ya internet na email zako utazipata instant kama kwenye black bery, ikishajiset, chomoa hiyo sim card ya voda, rudisha sim card yako ya Zain, utaona e-mails huzipati tena direct, nenda kwenye internet, ukiconnect, itakuuliza, connect through vodacom?, maana ndio iko confugured, wewe click yes, itaku connect straight kwenye 3G ya voda kutumia sim card yako ya Zain, stay as much as you need, then check balance, utakuwa surprised kukuta ni negligible!.

Enjoy freedom of information at most afordable rates!.

NB. Msiwaulize wenyewe, wasije wakablock uhuru huu, kama enzi zile za simu za vibandani za TTCL, unapiga wrong number, ukishajibiwa na answering machine, try another number, unatwanga trancall kwa local rates!, mijitu ikaanza kujazana, foleni ndefu mpaka wenyewe wakashituka, wakavifungilia mbali vibanda vyao!.
 
Some members wanted to have a mobile version for JF which will be loading fast.

We are happy to introduce a new version aimed at small screen devices such as Windows Smartphones, Nokias and even iPhones.

It has VERY low bandwidth requirements.

We are working on making it more user friendly. You can post new topics, can reply to existing threads etc.
Asante sana ila kunakitu nimejaribu sijapata mf, smile's icon na mahali pa ku m-pm sija paona na simu nayotumi nokia Xseries!
 
Kwa kweli inabidi tuwe wa kisasa zaidi kuliko hata nchi yetu ambayo mpaka sasa twahangaikia matundu ya vyoo what a shame!
 
Asante sana ila kunakitu nimejaribu sijapata mf, smile's icon na mahali pa ku m-pm sija paona na simu nayotumi nokia Xseries!

... button ya thanks ndiyo ina miss. Naona wengi wanaihitaji hii... lol
Ukiwa kwenye mobile kuna option ya "PC Mode" ukibonyeza hapo utapata JF ya kawaida na utaweza kupata makorokoro hayo mengine. Hizo icons etc zinasababisha page ku-load kwa muda, lengo la mobile version ni kukufanya ushiriki discussions kirahisi zaidi hata ukiwa upo maeneo unajiliwaza.

Features muhimu zote kukusaidia kushiriki discussions zipo.
 
Noted, working on it... Restructuring everything anyway

Inviziboooooo!!! upo mkuu?!

Just to make it more clear, when I mentioned about 'hovering banner' at the bottom, I didn't mean as only as applied to hand-helds but also as it appears on full blown browser view (PC View or PC Mode). Well, if this proves a big hassle, then I(we) would appreciate even if you only disabled some of the features (currently about 7) so that it doesn't span the whole width on the browser to our remote disgruntlements!! :confused2:
Akhsante!
 
Ukiwa kwenye mobile kuna option ya "PC Mode" ukibonyeza hapo utapata JF ya kawaida na utaweza kupata makorokoro hayo mengine. Hizo icons etc zinasababisha page ku-load kwa muda, lengo la mobile version ni kukufanya ushiriki discussions kirahisi zaidi hata ukiwa upo maeneo unajiliwaza.

Features muhimu zote kukusaidia kushiriki discussions zipo.
Ahsante Mkuu, naona option ya PC Mode (kwenye Nokia s60) sasa hivi inafanya kazi, niliijaribu asubuhi hii ilikuwa inagoma.... Nitaijairibu kwenye platforms nyingine na kuweka feedback hapa!
 
Invisible, one more suggestion:

As with 'PC Mode' button option while in mobile view, can you possibly apply similar button for 'Mobile View' while browsing in PC Mode?!
Many thanx!
 
Back
Top Bottom