Acc. Barclays bank

Opticf

Member
Oct 4, 2012
62
4
Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
 
Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.
 
Kweli jibu zuri sana hajawahi kutembelea bank hata moja? Kuna sehemu wameandika mapokezi may b hajui kusoma hata kiswahili!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom