Zingatia nini maana ya Academic Transcript Vs Academic Certificate.
Mfano: Ukisom chuo mihula mfano mitatu ukiomba matokeo utapewa "Transcript" na iwapo umemaliza masomo yako ya degree mihula yote kiukamilifu hapo ukitaka matokeo yako utakachopewa ni "Academic certificate"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.