Academic supremacy: Migiro vs Mnyika

kwani kwa uelewa wako unafikiri mtu akiwa waziri basi ni mtu mmoja very smart au very resourceful.
kwa Afrika kama mjinga yeyote anaweza kuwa rais sembuse huo uwaziri.
Usichokijua hadi mwaka ambao Lussu anahitimu UDSM, huyo mama alikuwa mhadhiri
 
Usichokijua hadi mwaka ambao Lussu anahitimu UDSM, huyo mama alikuwa mhadhiri
kitu usichokijua mimi na shahada yangu moja kwa nafasi yangu niliyo nayo sasa nina uwezo wa kuwapa maelekezo na maagizo hao mambugila unaowaita wahadhira.
 
Usichokijua hadi mwaka ambao Lussu anahitimu UDSM, huyo mama alikuwa mhadhiri

..tatizo ni Ccm na mifumo yake.

..kuna watu very bright lakini wakishajiunga na Ccm wanakuwa watu wa hovyo kabisa.

..Migiro, Kabudi, Kitila, wote ni watu waliosoma vizuri, lakini wanatumika vibaya ndani ya Ccm.
 
Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Ali-underperform pae UN Ban Ki-moon akamtema chap-(five yrs), akamteua m2 mwingine kuendelea naye. Angefanya vizur alikuwa na nafas ya kuendelea na Ban.
 
Huyo Mama Migiro ukumbuke naibu katibu mkuu mstaafu wa UN, hapo CCM anafanya kazi yake aliyoagizwa tu. Ila kielimu hebu muwe na nidhamu kwanza hadi UN inakitambua hicho kichwa
Hakuna ubishi CV ya Mh. Migiro siyo ya kitoto. Ukiachilia mbali kuwa ni msomi wa PhD, pia first class ya UDSM nayo sio kitu kirahisi. Nakumbuka Prof. Lipumba kuna wakati alikuwa akijisifu kuwa alipata first class ya uchumi pale UDSM.

Kwahiyo ni wazi kuwa CCM wana katibu mkuu bora kulinganisha na CHADEMA, angalau kwa hivi vigezo vya elimu na uzoefu wa uongozi kitaifa na kimataifa.
 
UPo sahihi, shida ni jinsi anavyitumika tu
 
Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu

USSR
Myika anepiga miaka mitatu UDSM huku Migiro akitimuliwa UN kwa incompetence (uzembe) licha ya shahada ya sheria ambapo hakuwahi kufanya kazi ya sheria.
 
Hujui hata argument yako ni nini unawezaje kulinganisha elimu ya kukariri na mtu mwenye ujuzi wa practical
Migiro hafanyi kazi kwa utashi wake nje ya HR wa kawaida ila ni kutekeleza maagizo ya Samia na Wassira haitaji kutumia "elimu" yake kwa lolote la ziada.
zoefu wa uongozi kitaifa na kimataifa.
 
kuna wakati vyuo vingewapokonya vyeti baadhi ya wahitimu kama
1. mwakyembe
2. hapa na pale
3. huyo migiro
4. mwigulu
5. ccm wote
Mtu wa kwanza kupokonywa awe Palamagamba Kabudi na Kitila Mkumbo, yaani siamini kama hawa watu walikua wanafundisha watu pale UDSM. Bila kumsahau dr Kakurwa
 

..unaamini Dr.Migiro anaweza kuwa Katibu Mkuu wa Chadema na akaimudu hiyo nafasi kama alivyoweza John Mnyika?

..Dr.Migiro ni mhadhiri na mkufunzi mahiri wa sheria, lakini sio mwanasiasa mzuri. Kwenye siasa ameteuliwa kutokana na vyeti, lakini ni nafasi ambazo zinahitaji mtu mwenye wito, na kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…