Academic qualifications kwangu tatizo

Academic qualifications kwangu tatizo

Hapana aisee binadamu hatufanani kiukweli mimi siwezi ogopa hata kutongozwa , hapa jf tunafunga pm ili kuzuia usumbufu na sio kuogopa mtongozo .. kwanza Mimi sio pisi kali huwa sitongozwi hata .
Afu me nawapenda sana nyie wenye sura za baba zenu,karibu PM.
 
Unabana as if hujawahi kutiwa bana.ebu mtafute jamaa huko mmalizane.msitujazie Savers za jf bure.
Alooh 😂😂
Hata Kama ndo nimetiwa ndo niwe cheap hivyo ,hebu mniache jamani .

kyagata hebu acha haya unaona watu wanakasirika hapa ... Sijazoea hivi .
 
Alooh 😂😂
Hata Kama ndo nimetiwa ndo niwe cheap hivyo ,hebu mniache jamani .

kyagata hebu acha haya unaona watu wanakasirika hapa ... Sijazoea hivi .
Unazingua bhna tena nishakushusha vyeo, hufai kuwa Expert Member. Me najuaga wadada wote tuliopo nao hapa jukwaa la Ajira hawanaga longolongo.. Mr kyanyangwe hata hajakosea alichosema mbona tuna wadada humu kama.......... wako peace tu PM zao unajizamia vyovyote utakavyo na respond ipo, just life..!!!
 
Unazingua bhna tena nishakusha vyeo. Me najuaga wadada wote tuliopo nao hapa jukwaa la Ajira hawanaga longolongo.. Mr kyanyangwe hata hajakosea alichosema mbona tuna wadada humu kama.......... wako peace tu PM zao unajizamia vyovyote utakavyo na respond ipo, just life..!!!
Nishushe tu hivyo vyeo
 
Back
Top Bottom