Academic qualifications kwangu tatizo

Academic qualifications kwangu tatizo

Kwenye kuedit hapo uki upload cheti kipya ukija uki view cheti cha zamani unakiona na kipya unakiona.
Au inategemea na browser unayotumia.
Mimi nili apload hapo hapo kila niki view naona tu zile copy original sijawahi kuziona.
 
Ooh okay
naona kama hautaki kuitoa ..
Namba binafsi kivipi wakati ni namba ya ofisi .
Piga za ofisi hizo si ziko kwenye website yao.watakupokelea vizuri tu na watakutatulia tatizo lako
 
Kwa wapi
Itakuwa macho yangu hayaoni vizuri
Hiyo hapo,ila ukifanikiwa kuwapata na wakakutatulia shida yako uje kutoa ushuhuda hapa. Maana ni wazinguaji hatari

Screenshot_20220420-114321_Opera Mini.jpg
 
Yani number binafsi za mtu nikuwekee hapa?uko sawa kweli mkuu?
Huyo achananae mkuu,, kwanza mtu mpaka unafungA PM unaogopa nn..!! kama kutongozwa mwanamke si kitu Cha kawaida na kama hutaki si unakataa kwa kukataa ni dhambi..? nawamaindi sana hii mijike inayoona PM zao kama dhahabu
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mweh acha kupanick bhana
Maisha ni haya haya unatoa povu kwa mtu usiyemjua
Tuwe humble jamani
 
Hii habari ya kufunga PM Mabaharia kama Mimi Huwa inatoboa sana.. funguka usaidiwe ww😕😕
 
Mmengangania mtongozo jamani 😂😂
Tupo jukwaa la ajira hili
Si ndo mnachowaza mda wote nyie.. Mfano Jana nimekutana na braza mmoja Niko mbele yake kanistua, issue yake kubwa anaomba msaada wa ofisi moja nimuelekeze afike.. bila hiyana Baharia nikampanga chapu, Ila hakusita kunipa ushuhuda wake,, akasema kakutana na wadada kibao kajaribu kuwasimamisha awaulizie Ila wote walijifanya kama viziwi. Yaan Hadi nikahisi maumivu kana kwamba me ndo nimefanyiwa hiyo issue. True that hawa wadada wote walikuwa wanasikia vizuri Ila hofu Yao ni kutongozwa tu.. acheni hizo mambo bhna mnakera kinyama
 
Hapana aisee binadamu hatufanani kiukweli mimi siwezi ogopa hata kutongozwa , hapa jf tunafunga pm ili kuzuia usumbufu na sio kuogopa mtongozo .. kwanza Mimi sio pisi kali huwa sitongozwi hata .
 
Back
Top Bottom