S Sia Mallya Member Joined Nov 30, 2015 Posts 17 Reaction score 8 Dec 1, 2015 #1 Poleni na majukumu , naomba kujua Mzumbe walitoa nafasi za tutorials , lectures na ass lecturers Sept mwaka huu,je kuna yeyote aliyeitwa ? Asanteni
Poleni na majukumu , naomba kujua Mzumbe walitoa nafasi za tutorials , lectures na ass lecturers Sept mwaka huu,je kuna yeyote aliyeitwa ? Asanteni
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Dec 1, 2015 #2 Watu walishaitwa na kila kitu tayari.....
S Sia Mallya Member Joined Nov 30, 2015 Posts 17 Reaction score 8 Dec 1, 2015 Thread starter #3 Mhh!!asante kwa taarifa
D dumejike JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 325 Reaction score 68 Dec 1, 2015 #4 Sia Mallya said: Mhh!!asante kwa taarifa Click to expand... Anakudanganya wala sio kweli
S Sia Mallya Member Joined Nov 30, 2015 Posts 17 Reaction score 8 Dec 2, 2015 Thread starter #5 dumejike said: Anakudanganya wala sio kweli Click to expand... Jamani nikajua ndo hivyo tumeshabwagwa kapuni, jamani mwenye taarifa sahihi atujuze please, asante mkuu
dumejike said: Anakudanganya wala sio kweli Click to expand... Jamani nikajua ndo hivyo tumeshabwagwa kapuni, jamani mwenye taarifa sahihi atujuze please, asante mkuu