Acacia wakomaa na Barrick

Acacia wakomaa na Barrick

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,313
Baada ya report ya mshauri elekezi SRK Consult kutoa taarifa yake na kusema thamani ya hisa za acacia ni 271pence kwa kila hisa na sio 153pence wamekomaa kuwa hawatapokea offer chini ya hapo. wakati huohuo bei ya hisa za acacia katika soko la London ni 193pence/share. Ningependa kujua katika mahesabu yao TRA walikuwa wanapeleka hesabu zipi? na kwa kuwa walishasema wanaomba wasikilizwe na serikali ya Tanzania hebu tuwape nafasi nao waseme ya moyoni. Pamoja na report ya prof Mruma na Prof Osoro tunaweza unganisha na report ya SRK Consult kujua ukweli wa uhuni uliokuwa unaendelea ndani ya acacia.
 
[/QUOTE
Soma Sheria za kodi...ukikosa kuna Jeopardy assessment

A
 
Back
Top Bottom