Pamoja sana mkuu!Nasikia kariakoo kuna maduka yana deal na vifaa vya hao jamaa jaribu kupita maduka ya dekoda na madishi uulizie.Pia kama una jamaa tanga mwambie akuulizie. Kuhusu gharama tanga nasikia ni laki 4;unapata receiver na kadi yao;then unanunua dishi la futi kuanzia 4;baada ya hapo unatafuta fundi anakufungia na kupewa maelekezo mengine. Nadhani umepata pa kuanzia