Abu dhabi sports | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abu dhabi sports

Discussion in 'Entertainment' started by Megawatt B, Jan 23, 2012.

 1. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Msaada jamani, wapi nitapata huduma ya channel (hii/hizi). Nimekuwas nazisikia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini. Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze tafadhali.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo ni mpaka uwe na king'amuzi cha easy tv ndio wanayo hiyo chanel..
   
 3. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,711
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  hta ya startimes ila unabd u2mie ujnja kdg utapata
   
Loading...