Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Waharirii) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

yaa, kwa sababu kule chadema ndiko kumejaa majambazi. kama yale yaliyomteka ulimboka. una akili sana.

Mpango wa Rostam, Lowassa na Bashe ndio maaana walimwamisha Tanzania Daima ili wapate full Data na Mida yake ya kurudi home ndio maana kaumizwa.Nasikia Wamemtoa Jicho Moja.Tamaa Mbele Mauti Nyuma.Si alikimbilia Dau kubwa.Mungu amsaidie.
 
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda amevamiwa na watu wanaodaiwa ni majambazi akiwa anaingia nyumbani kwake. Amejeruhiwa vibaya ikiwa ni pamoja na kutobolewa jicho na sasa anatibiwa hospital ya Taifa Muhimbili (icu)
 
Kwa habari niliyosikia redio Clouds, kuwa mwenyekiti huyo amevamiwa alfajiri ya leo na watu wasiojulikana na kujeruhiwa... Inaaminika yupo Muhimbili Hospital.

Mwenye habari kamili atujuze tafadhali...
 
Ooh boy.. tunamuombea apone.. ni matumaini yangu kuwa hili halihusiani na kazi yake ya uandishi.
MWANAKIJIJI SIWEZI KUKUBALIANA NA WEWE PAMOJA YA KUWA NI MATUMAINI YAKO KUWA hili halihusiani na kazi yake ya uandishi.nalihusisha na kazi yake kwa nini wamtoboe macho????Wewe huoni hii kama ni muendelezo wa SAED KUBENEA NA DR.STEVEN ULIMBOKA???
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.


cdm inawatesa sana. Hamuwez jisikia raha bila kutaja cdm
 
Mpango wa Rostam, Lowassa na
Bashe ndio maaana walimwamisha Tanzania Daima ili wapate full Data na
Mida yake ya kurudi home ndio maana kaumizwa.Nasikia Wamemtoa Jicho
Moja.Tamaa Mbele Mauti Nyuma.Si alikimbilia Dau kubwa.Mungu
amsaidie.

Mkuu pia Liwalo na Liwe, atakuwa anahusika.

Kwa kauli yake hiyo, inaonyesha kaamua kwa vitendo.
 
Mzee Mwanakijiji Si you tube tu, hata Star Tv huwa unachangia mada kwa njia ya simu, lakini point noted si lazima kila mtu ajulikane Verified maana kila mtu yupo huru na ndio maana hata mimi leo naweza kwenda kubadilisha majina yangu serikalini kwenye mamlaka husika.

Ila sikutalajia muandishi mkongwe kama yule wakati nampaorodha ya waandishi wa Makala ninaowakubali akaniambia kwakweli mimi sijawahi kumjuwa Mwanakijiji anafananaje ila anakubali kazi zako.
 
Last edited by a moderator:
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

Nadhani wewe ni kati ya walioandika matusi kwenye mitihani ya kidato cha nne. Haiingii akilini kuona mtu mwenye akili timamu kuwa na kuwa na mtazamo huo. Rudi shuleni.
 
Hivi FBI si bado wapo kwa kina Kakke eeh?

Kama bado wapo, wakimaliza magaidi watusaidie Mabwepandelism
 
Last edited by a moderator:
Watu wana mbinu..kwanza walimhamisha Tanzania daima..wakampeleka mtanzania...hii ilikuwa mbinu ili asijeruhiwe akiwa tanzania daima kwani mambo yangekuwa mabaya..
 
Inatia simanzi na inasikitisha natumaini Kova atatuletea picha lingine Kama ulimboka.
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

Unahangaika sana ndugu yangu
 
KAma waliomdhuru ni huko alikotoka sasa unataka uchunguzi upi tena!! uwe nawe unatumia akili japo kidogo!! uko kama pimbi!

DSC_0109.JPG


Pimbi ni mnyama mdogo mpole, kakukosea nini mpaka umlinganisha na huyu mbwa koko asiyejua anachoongea?
 
Work of 'Dark Forces'..? They started with Pastors and Sheikhs, now Journos, who will be next..? Varsity Dons..? Civil Society..? It is time to close ranks and draw a line in the sand..
 
Back
Top Bottom