Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Waharirii) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Walioshuhudia tukio wanaeleza kuwa waliompiga hawajachukua kitu chochote, so tusidanganyane , huu ni mpango maalum
 
Ametekwa au amevamiwa nyumbani kwake na kujeruhiwa,kama ni hivyo basi hata Kebenea alitekwa na kujeruhiwa! Weka sahihi habari yako!
 
hivi ametekwa then akapelekwa muhimbili na nani? Na hao watekaji? Au na jamaa zake.kaharaka kutokana na habari hii,utakwaji hapo haupo.
 
polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

Mbona umetoa hitimisho mapema namna hiyo? Waandishi wa habari huwa wanahama kutoka chombo kimoja kwenda kingine kila siku, kwa nini hutaki kuwaza hilo? Licha ya hivyo, anapoondoka Tanzania Daima alitoa taarifa karibu miezi miwili kabla, kwa hiyo haikuwa surprise! Think outside the box!
 
Walioshuhudia tukio wanaeleza kuwa waliompiga hawajachukua kitu chochote, so tusidanganyane , huu ni mpango maalum

Ndio kabisa!! Ni mpango maalum wa ma tyrant wa ccm kuwafunga midomo wakosoaji wa ukandamizaji na wizi unaofanywa na viongozi wa ccm.
 
Ni rahisi sana kwa ccm kuwakomesha waandishi wa habari.kwasababu hata uchunguzi ukitaka kufanyika wataufanya waowao watekaji.
 
Ni wapi hii nchi inakwenda?whether ni chama tawala, waajiri wake wa zamani au vibaka! Nchi inakokwenda siko kabisaaa!!!:mad:. Get well soon brother!
 
Nchi imeshafika pabaya
Mola tuondolee huu ubaya
Roho safi zinaliwa na wabaya
Ee Mola simama dhidi ya wabaya
Pole sana kamaradi Kibanda wee si mbaya
 
Taarifa niliyoipata ni kuwa m/kiti wa wahariri TZ alitekwa jana usiku na kupewa kipigo kikali na watu wasiojulikana,tukio hilo ni kama la ulimboka.

Source:clouds fm.
 
Kwa mujibu wa breaking news radio one,Kibanda amejeruhiwa vibaya ikiwa ni pamoja na kutobolewa jicho baada ya kuvamiwa na watu wasiojulika wakati anaingia nyumbani kwake.MUNGU amjalie apone haraka.
 
Alafu wamemtoboa jicho! Ni dalili mbaya ya kwa waandishi wetu.. Hao majambazi yanayotobom mtu macho ni ya wapi..
Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015 walianza kwa kuzima analojia ili watu wengi wasipate habari na sasa wanawatoboa waandishi wa habari macho! Tutaona mengi mpaka 2015!
 
Umechelewa kuipata aisee, habari ipo jamvini karibu saa sita zilizopita!
 
Tunaelekea wapi...Why Absalom? Anayesimamia anachokiamini,mwanahabari ...Majambazi! Haiingii akilini..kuna dots za kuunganisha hapa..

Nchi hii haitaki wananchi wenye uchungu nayo.ukijifanya una uchungu wa kutetea nchi na wanyonge yatakukuta haya,tena ana bahati hajang'olewa kucha na meno bila ganzi!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom