Absalom Kibanda aaga rasmi Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Wenye kumfagilia Ansbert wanajidanganya, hana experience ya uongozi, tuko nae hapa tunamjua hana uwezo wa kufanya kazi kukalisha ****** chini, ana mambo chungu mzima yasiyokua ya kikazi yakiwemo kuendesha vox media kwa kutumia mishahara ya Tanzania Daima, hana uwezo wa ku perservea sio kiongozi, mkabila wa hali ya juu kumbuka alivyo mfrustrate charles mulindwa kwa ajili ya kumpendelea yule dada wa kihaya mwenzie a very junior girl aliyeshindwa kazi kwa Bagenda kule eti akaletwa hapo ndio kila kikicha Charles anavuliwa majukumu yake anapewa huyo binti, na kwa vile wakina kibanda walikua wanamsujudia huyo Ansbert wakamuacha amnyanyase mpaka akaondoka.

Ansbert elimu ndogo sio graduate kama Kibanda kwa hiyio ustaarabu mwingi aliokua nao kibanda yeye hana kwa hiyo kama huyo madame Lilian anategemea bwana huyu asiyekua na muda wa kazi za hapa ofisini kuongoza jahazi asahau, kwa sasa yuko busy na ubunge wa chadema ataweza? hata makala zake za mswali magumu zimekua nadra tangu azungumzie ile ya kichwa kama CCM upuuzi mtupu hajaandika chochote, wote wamepoteza Tanzania Daima imempoteza mhariri, na mhariri kapoteza muajiri
 
...Sio yeye tu, akchuale bora yeye katangaza ndoa wazi kuliko wale akina nonino, akiwa huku anajifanya kufoka-foka mistari kibao lakn usiku anakimbilia kule kule kupeleka habari na kuomba mahela hayo hayo ya ufisadi. Wakimjazia mengi kupita kiasi basi anaamka asubuhi na kudai kaoteshwa na mizimu ya saguraga kuwa yeye pekee ndo anafaa kuwa laisi ajaye kisa eti anaungwa mkono na masharobaro na akina Wema wengi... :)
 
Huu ni mpango mkakati wa kufunika maovu a.k.a damage control...Kwa mwendo huu wa majangili; Tembo, Faru, Twiga watamalizwa wote...
 
Njaa mwana malegeza,imemlegeza naye kalegea na kuamua kujitoa ufahamu wa kwenda kinyume na kile alichokiamini awali.
 
Yamemtokea puani alijifanya kuweka bifu na CDM. Sasa amenasa kwenye mikono ya msanii JK na atatumika zaidi ya condom
 
Nchi yetu hii tamu kweli kweli! Nataka nione zile makala motomoto za kuichachafya serikali na CCM zikitoka kwenye magazeti ya New Habari!

Ndugu Mwita Maranya yametia yaliyonenwa na manabii
nadhani anakwenda kusaidia mtandao wa LOWASA Huyu maana alishaonesha nia hiyo kwa makala 2 zilizopita
 
Yamemtokea puani alijifanya kuweka bifu na CDM. Sasa amenasa kwenye mikono ya msanii JK na atatumika zaidi ya condom

Wakati fulani niliwaambia baadhi ya waandishi wa gazeti la uhuru kuwa njia nzuri ya kukisaidia chama chao(kwa kuwa ni gazeti la Chama ni kuandika mapungufu ya chama chao) ili wajirekekebishe vivyo hivyo kwa kibamda kwanza hakuwa akiandikia gazeti la Chama bali alifanya kazi ya mageuzi kwa kuonyesha mapungufu yaliyopo na kutoa tahadhari, kwa tuliomuelewa tutaendelea kuthamini kazi yake na ni mapema sasna kumuhukumu kama mnavyofikiri amini amin nawaambia huenda ukawa mwanzo mpya wa new habari kusimama kama miongoni mwa magazeti yanyoheshimika kwa sasa nchini tusubiri na tuone pia tukubali kuonyeshwa mapungufu yetu
 
Acha kuleta siasa, in short nakupa ajuwa
 
Waandishi wengi hawana tofauti na wansiasa! Ukiona anaongea hadi povu linamtoka utaona huyu ndiye kumbe hana chochote!

Mkuu Kimbunga,
Mbona mnamshambulia bure Kibanda kisa kaikosoa Chadema. Mnataka waandishi wote wawe wafuasi wa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Naona fesheni ya watu kula matapishi yao imeshika kasi siku za karibuni, kulikoni?

Mang'ula, Kinana na sasa Kibanda...genge la ufisadi lazidi kujizatiti kwa kuokoteza waliokuwamo na kuchujika. Dampo linavyozidi kuvunda ndivyo linavyozidi kuvamiwa na vikosi vya kazi, nzi...Je, kwa nini ghafla CCM imekuwa kivutio na kimbilio la walafi na wachumia tumbo? Nahisi sababu kubwa ni woga, tunakoelekea viti walivyovikalia miaka nenda rudi vinaanza kupata moto, havikaliki! CCM kwa sasa hivi wanahitaji umoja kuliko wakati wowote ule, hakuna tena cha kunyoosheana vidole, hakuna tena cha kuvuliana magamba na hakuna tena cha kukosoana...ni mshikamano tu wa kifisadi katika kujilinda!

Waliopo nje, nyumba ya jirani, wanasisitiziwa umuhimu wa kurudi nyumbani, waathirika wanaonywa watadhurika zaidi wakiwa nje...warudi ndani kuongeza nguvu! Kuna hatari kubwa huko mtaani, Chadema wamewasha moto na usalama wao uko hatarini, hofu imetanda na muda waenda mbio kwani 2015 haiko mbali.

Ni mapambano dhidi ya adui asiye na ubia na waongo, wezi na wauaji...wote hawa wanazo alama usoni, hawana tena pa kujificha na usalama wao haupo tena nje ya CCM. Tatizo linalowakabili ni kificho chao hicho kutoweza tena kukabili twanga ya Chadema. Ni swali la muda tu na wanavyozidi kushikamana ndivyo inavyokuwa rahisi kuwaangamiza kwa pigo moja tu...naihurumia CCM!
 
Kweli kazi ya uandishi wa habari Tanzania haina tofauti na uuza baa. Jamani Kibanda kama aliyokuwa akiandika yalikuwa yanatoka moyoni, huko ataandika nini au ni wale wale akina Salva Rweyemamu. Kweli namna hii hatuwezi kuendeleza nchi yetu. Yaani kila mtu anapigwa bei kienyeji hivi hivi.

U mean anajiandaa na uafisa habariu Ikulu 2015?
 
Wakati fulani niliwaambia baadhi ya waandishi wa gazeti la uhuru kuwa njia nzuri ya kukisaidia chama chao(kwa kuwa ni gazeti la Chama ni kuandika mapungufu ya chama chao) ili wajirekekebishe vivyo hivyo kwa kibamda kwanza hakuwa akiandikia gazeti la Chama bali alifanya kazi ya mageuzi kwa kuonyesha mapungufu yaliyopo na kutoa tahadhari, kwa tuliomuelewa tutaendelea kuthamini kazi yake na ni mapema sasna kumuhukumu kama mnavyofikiri amini amin nawaambia huenda ukawa mwanzo mpya wa new habari kusimama kama miongoni mwa magazeti yanyoheshimika kwa sasa nchini tusubiri na tuone pia tukubali kuonyeshwa mapungufu yetu
Ulichoandika hapa ni mashudu matupu.

Nani alikwambia lengo la kibanda kuhamia Habari Cooperation ni kwenda kuliboresha gazeti.

Hakuna mtu anayehoji kuhama kwa kubanda bali issue ni
1/Anakohamia siko kabisa
2/Dhamira ya njaa ndio inamwamisha na sio taaluma
3/Kitendo cha kuleta chokochoko kwanza kabla ya kuhama
 
Hiyo ndiyo mikakati ya mtawala kila siku, kunyamazisha wanaoichokonoa. Si unamcheki maalim seif sharrif hamad alivyoingizwa kwenye payroll na kuikaanga cuf. Siku hizi kimyaaaa kama hayupo vile.

If you can't fight them; join them!

How could we allow jokers to think big?

Mark my words im not a sell out. I have made the un expected, I sincerely know what I do and think.

Those who think that Chadema is a movement and not a political party are doing a silly mistake.

I salute change, I believe in change, I will always preach change and above all I'm for change.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom