Abraham Nyange-Anatafutwa

Abraham Nyange-Anatafutwa

Status
Not open for further replies.

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
689
Namtafuta ndugu Abraham Nyange...Nachojua ni kwamba anaishi Dar maeneo ya ILALA namba yake ya simu ya tigo haipatikani kwa yeyote anayeweza kunipa contacts zake nyingine or atakayeweza kunisaidia kumpata ani-pm NATANGULIZA SHUKRANI
 
Kwa majina matatu ni ABRAHAM HAVER NYANGE
 
Ilala kubwa je ni wapi -BUNGONI, AMANA, KARUME?

Ukiweza kutaja ilala ya wapi itakua rahisi kumpata
 
Unataka kumng'oa kucha bíla ganzi? Weka jina lako halisi hapa. Amenambia hamjui mtu anaitwa Olympus. Anaishi Ilala karibu na TBL.
Tunaishi nae wala siweki mawasiliano yake, ila ana namba ya zantel na Airtel
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom