Aboud Jumbe kutopewa nishani: Majibu ya Ikulu

Wanaosema Jumbe hakuwahi kutawala Tanganyika wamesahau kuwa alikuwa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Hakuna kigezo chochote cha maana cha kutomtunukia nishani isipokuwa kama yeye mwenyewe hakutaka.
 
..lakini nadhani Cygwiyemwisi Malecela naye alistahili nishani.

..sijui kwanini CCM na serikali yake hawampi heshima yake anayostahili.

..hata mwaka 2005 walikata jina lake kwenye kugombea Uraisi bila maelezo ya kuridhisha.
 
kutambulika inategemea nana yuko madarakani,kaunda anaheshimika utwala wa sata si wa chiluba wala banda,mbowe akitawala mnajua lzm mtei apate,watu na watu wao,kabila na lumumba si wakati mobutu
 
Wanalilia tuzo ya nini? Huyo anayewapatia hana chembe ya uadilifu hata kidogo.
 
Hawezi kupewa tunzo kwa sababu yeye ni muumini wa serikali tatu tanganyika,muungano na zanzibar lkn kama kiongozi alieslahili kupewa tunzo ni aboud jumbe kwani alitoa mchango mkubwa kuunganish ASP na TANU.ikaundwa ccm chama dola
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom