Aboud Jumbe kutopewa nishani: Majibu ya Ikulu

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Siajaua wakifanya WEEKLY press conference watajibu nini wakiulizwa na waandishi wa habari (wenye akili) sijui watajibuje?

Ohh dont give me that machafuko ya 1980's crap

Na pia wasitulee habari kuwa ni mtu wa ZNZ kwani mzee Idrissa Abdul Wakeel (Babu) kapewa pia japo si mTanganyika

kwa sababu hakuna mahakama iliyowahi kumhukumu mzee Jumbe for treason so we will need better explanation from Ikulu than conspiracy theories
 
Naamini Aboud Jumbe Mwinyi alistahili tuzo la heshima ya juu kama marais wastaafu kwa sababu zifuatazo ni yeye aliyeleta demokrasia zaidi Zanzibar kuruhu baraza la wawakilishi kuwepo, kuwa na Waziri Kiongozi wa kwanza mwenye mamlaka Brigedia Ramadhani Haji pia kukubali maoni ya mwalimu kuunganisha TANU na ASP na kuzaliwa CCM

Karume alikuwa dikteta hakustahili hilo tuzo kwanza alikuwa muujai aliwaua Kassim Hanga na wengine, pia kutaka kumuua Professa Abrahman Babu pia hakuruhusu bunge isipokuwa kulikuwa na kundi la watu wanane likiongozwa na Kanali Seif Bakari ndilo lilikkuwa linatunga sheria za nchi. Na hata kama watu wanasema aliwezesha Tanganyika na Zanzibar kuungana hakuwa na jinsi maana ni Nyerere alliyemuweka madarakani baada ya kufanya juu chini na kumpokonya madaraka John Okello aliyefanya mapinduzi

Lakini Jumbe aliruhusu wabunge wawakilishi kuwepo, akaruhusu ASP kuungana na TANU na kuzaliwa CCM wakati Karume alikataa aliogopa nguvu zake kumalizwa na Nyerere. hata kama wanasema machafuko ya kisiasa ya mwaka 1984 Jumbe alikuwa upande wa wengi wenye kutaka serikali tatu kwani ni dhambi kusema vile? hata kama CCM wanaona ni dhambi aliyoyafanya ni mengi kuliko hilo leo ASP na TANU zisingeungana na kuzaliwa CCM sijui kama Tanzania ingekuwepo maana sasa hivi wabara huwacontrol wazanzibar kupitia vikao vya CCM kwahiyo ni Jumbe ndio kafanya Muungano uzidi kuwepo na anastahili tuzo la juu na yeye ni bora zaidi kuliko Karume

Nishani zilitolewa kwa WATANGANYIKA. Jumbe sio Mtanganyika. Waliosahaulika ni JSM, EL, Rostam, Paul Bomani, Dereck Bryceson, Amir Jamal, Edwin Mtei,...
 
Siajaua wakifanya WEEKLY press conference watajibu nini wakiulizwa na waandishi wa habari (wenye akili) sijui watajibuje?

Ohh dont give me that machafuko ya 1980's crap

kwa sababu hakuna mahakama iliyowahi kumhukumu mzee Jumbe for treason so we will need better explanation from Ikulu than conspiracy theories

Sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara, na sio miaka 50 ya Muungano. Itakapofika miaka 50 ya Muungano, atapewa. Kwa hiyo waliostahili ni wale waliotumikia Tanzania Bara katika katika kipindi hicho.
 
Nishani zilitolewa kwa WATANGANYIKA. Jumbe sio Mtanganyika. Waliosahaulika ni JSM, EL, Rostam, Paul Bomani, Dereck Bryceson, Amir Jamal, Edwin Mtei,...

Nakubaliana nawe kabisa ingawa umeleta utani kwa kuwataja baadhi ya mafisadi.Pia sioni ajabu kwa huyo Jumbe kukosa kwani wapo wengi tu waliostahili heshima hiyo lkn wamechinjiwa baharini vilevile.Afterall hizo nishani hazimuongezei mtu damu au muda wake wa kuishi hapa duniani.
 
Mchango wa baadhi ya mafisadi katika nchi hii ni mkubwa sana kiasi cha kustahili medali hizi. Niambie JK angeupata wapi Urais kama sio akina Rostam!
 
Mwacheni Mzee wa watu mzee Jumbe ajipumzikie na kula upepo mwanana sana wa bahri.

Kwani nishani itamsaidia nini? Aliyoyafanya yanaonekana dhahir na yamo ndani ya historia ya Znz na Tanzania.
 
ivi bado yupo kigamboni huyu mzee?
.ndiyo yupo mji mwema kigamboni na watamwamisha muda si mrefu kupisha ujenzi wa mjimpya.ila ata km si ki hivyo wamemtupa sana! Ukiona nyumba yake kawaida sana tena imefanyiwa matengenezo karibuni tu!
 
Najiuliza kama Ikulu ingeamua kupotezea hizo nishani!
Kama ambavyo inajielewa haiwezi kufanya kitu bila manouver... matokeo yake sasa imeleta mkanganyiko,
mzee Malecela naye anakilio chake kule kuwa eti tuwaulize Ikulu.
Nadhani list ya vilio toka kwa "forgetten heroes" itaendelea!
 
how dare you Adressing Malecela as a hero!!!
 
Niliwahi kusanya data kuhusu maisha kilichofuata kwa Aboud Jumbe baada ya 'kuchafuka kwa hali ya hewa' zanzibar, nili post sehemu ya taarifa hapa lakini ikaminywa, nikajaribu tena, bado ikaminywa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom