Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

cant comment further ....bishana hadi kufa hata kama ni ukweli
 
Kwenye shida ni sawa! Huna jinsi! Ila inapotokea ajali ndio msala! Na wasafiri wenye kuamini abood bus huwaambii kitu!
 
Hivi mtu analazimishwa kukalia ndoo au anapenda mwenyewe kukaa kwenye ndoo...?.

Kama siti zimejaa abiria anazuiwa kushuka na kupanda gari nyingine kwani...?.

arguement hii sio ya ki GT

Mi naamini wee sio MSENGEREMA kwa mana naamini wazi kuwa hutokei SENGEREMA MKUU.

Comment yangu inasema mtu akiona zimejaa ASHUKE apande gari yenye seat ya kuweza kukaa unasema sio argument ya KI-GT kwa hiyo wee unashauri wapande hivyohivyo...?.
 
sawa umesomeka bila kuongeza Usengerema
Mi naamini wee sio MSENGEREMA kwa mana naamini wazi kuwa hutokei SENGEREMA MKUU.

Comment yangu inasema mtu akiona zimejaa ASHUKE apande gari yenye seat ya kuweza kukaa unasema sio argument ya KI-GT kwa hiyo wee unashauri wapande hivyohivyo...?.
 
natafakari pale stendi kuu kuna mabasi mengi tu au hata Abood yenyewe ipo inafuata nyingine lkn mtu anajiweka intoi such risk nashawishika kuamini huenda wanatoa nauli pungufu kdg
Kwenye shida ni sawa! Huna jinsi! Ila inapotokea ajali ndio msala! Na wasafiri wenye kuamini abood bus huwaambii kitu!

Mi naamini wee sio MSENGEREMA kwa mana naamini wazi kuwa hutokei SENGEREMA MKUU.

Comment yangu inasema mtu akiona zimejaa ASHUKE apande gari yenye seat ya kuweza kukaa unasema sio argument ya KI-GT kwa hiyo wee unashauri wapande hivyohivyo...?.
 
Ni kweli kabisa mleta mada kaongea kitu cha ukweli huwa napanda hizo bas za abood na abiria huwa wanakalishwa kwenye ndoo hasa hizo bus mpya youtong na sielewi wa tz tunakuwaje ktk mawazo mwingine analipa buku 7 na kwenye ndoo anakaa ni shida ntaleta na mm picha kukazia wengine wabish.
 
Niko kwa Aboud bus sasa hivi naelekea milima ya uluguru mji kasoro bahari, yaliyopo ndani ni kuna ndoo mbili na creti moja yote yamekaliwa na watu, pia kule kwa dreva dashboard pale mlangoni kuna abiria watatu wamekaa na watatu wamesimama.

Ujasiriamali unaendelea.
 
safi sana mkuu,
 
nasubiri kwa hamu radika
 
nashindwa kujua mjinga zaidi ni yupi??? yule anaekalia ndoo au yule anaewakalisha abiria kwenye ndoo??
 
nashindwa kujua mjinga zaidi ni yupi??? yule anaekalia ndoo au yule anaewakalisha abiria kwenye ndoo??
hili nalo neno lenye kuhitaji tafakuri jadidi
 
Ndani ya Yutong mpya jamani leo nimenaswa kwa Ndoo nyuma ni siti namba 58, na safari inaendelea tupo mikese narejea dar
 
nashindwa kujua mjinga zaidi ni yupi??? yule anaekalia ndoo au yule anaewakalisha abiria kwenye ndoo??

Hapa hakuna m....ng.....yanatokea tu ila kautaratibu haka ni ka dereva ana kibaraka wake muuza vitabu ndio nimeona anapanga watu kwa ndoo na kufungua madrisha ya headroof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…