Abolish the Electoral College

Abolish the Electoral College

Umeona eeh! He is talking with both sides of his mouth. Hii ni 180 Kui jumping from one end to another bila hata ya kupepesa.

Aisee, hii flip flop ni 180° au 360°..?

Sipati picha the Donald angeshindwa uchaguzi. Naona ange flew in watu kutoka states nyingine kwenda DC kuandamana white house kwa kigezo cha the system is rigged.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Umeona eeh! He is talking with both sides of his mouth.

Heheh!, acha tu.
By the way have you read about the new white house chief strategist? He's soome'in.
The boss is already getting a backlash for his pick.

Speaking of starting off on the wrong foot.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona eeh! He is talking with both sides of his mouth. Hii ni 180 Kui jumping from one end to another bila hata ya kupepesa.
Huo mfumo umeonekana mbaya baada ya Hillary kushindwa sio? Kwa nini wasingeukataa kabla ya uchaguzi?
 
Wamarekani na wazungu wengi wa siku hizi huwa hawana akili. Wanadhani kwamba Trump hapendwi, wakitaka kujua waaminicho sicho, basi waanhalie tofauti ya popular votes za President elect Trump Vs zile alizopata Hillary Clinton.
Kingine, wanapaswa kutambua kuwa hata kama popular votes ndiyo zingekuwa zinaamua mshindi, basi Trump and the team wangekuja na approach na lugha ya Ku win hizo kura. Maoni na ushabiki unaoendelea hivi Sasa na kukuzwa isivyopaswa ni matokeo ya wengi wanaojifanya wafuatiliaji na wachambuzi kuwa uelewa finyu wa mambo haya.

mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........

ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........

watanzania wengi km kina BAK tunashabikia vitu bila kujiuliza kwann vipo
 
huyo jamaa anatafuta pa kutokea baada ya mgombea wake kupigwa. we jiulize hili povu kwa nini limekuja baada ya kugaragazwa!
 
Mkuu wanaopinga EV si Watanzania, acha kukurupuka soma kwa kituo kilichoandikwa humu ili uelewe. Kama huelewi uliza.

Sen. Barbara Boxer to introduce bill to end Electoral College - CNNPolitics.com

mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........

ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........

watanzania wengi km kina BAK tunashabikia vitu bila kujiuliza kwann vipo
 
Hehehehe who needs Hollywood when you've DT in WH? lol! The next four years will be very interesting to watch this unfolding drama.

160506191021-jared-kushner-and-ivanka-trump-overlay-tease.jpg

Jared Kushner at the center of Trump transition 'infighting,' sources say - CNNPolitics.com

Heheh!, acha tu.
By the way have you read about the new white house chief strategist? He's soome'in.
The boss is already getting a backlash for his pick.

Speaking of starting off on the wrong foot.
 
  • Thanks
Reactions: kui
mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........

ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........

watanzania wengi km kina BAK tunashabikia vitu bila kujiuliza kwann vipo
Hilo ndiyo tatizo kubwa sana. Waliouweka huo mfumo waliona mbali sana, si rahisi mfumo kuondolewa eti sababu mashoga na undocumented immigrants wanaandamana.
Ushabiki huwa unafinya uelewa wa wengi pia kuwaposha kabisa.
 
Very interesting Mkuu. CNN should create special program and the title should be WH Drama.

Apology? Trump anaonekana ni very thin skin next 4 yrs will be very interesting
 
  • Thanks
Reactions: kui
Jambo la kushangaza mfumo wameutumia miaka yote leo tu ndiyo eti umeonekana mbovu kisa trump kashinda.
Kama waliona mbovu toka mwanzo wangeubadili kabla ya uchaguzi ila kwakuwa walidhani mwana mama atashinda wakaona safi tu mambo yameenda ndivyo sivyo wanaanza leta zogo

Kinacho nisikitisha zaidi inaonekana mpaka sasa Kundi la Hillary na wapambe wake especially mfanya biashara tajili Bwana Soros bado awakubali kama walishindwa kihalali! Soros amefikia hatua ya kuwalipa waandamaji ili walete vurugu za kijinga jinga tu - SOROS na kundi lake wanataka Amerika isitawalike under Trump's Administration - ni aibu tupu, Hillary na wenzake wanafanya mambo ya kitoto kabisa!

Hillary anakuwa kig'ang'anizi na kulia lia kwamba alifanyiwa hujuma na Mkurugenzi wa FBI wakati hiyo si kweli hata kidogo, kilicho muangusha ni kujiamini kupita kiasi na kutoweka maanani maoni grassroot kwenye Swing States, waliendelea ku bank on phantom opinion polls za MSM.

Hillary akija adhalani anajifanya ku concede kushindwa na Trump lakini in privacy yeye na akina Obama na Kerry wanamfanyia hujuma Trump kwa ku instigate viongozi wa Ulaya wajaribu kumtisha tisha Trump kwamba asielewane na Urusi - yaani wamepania siasa zao za masuala ya nje zilizo jaa ugomvi ugomvi na kuhujumu Mataifa mengine, wanataka siasa hizo hatarishi ndiyo ziendelezwe na chama cha TRUMP - wana dharau sana na kujisikia lakini Trump atawakomesha.
 
Hilo ndiyo tatizo kubwa sana. Waliouweka huo mfumo waliona mbali sana, si rahisi mfumo kuondolewa eti sababu mashoga na undocumented immigrants wanaandamana.
Ushabiki huwa unafinya uelewa wa wengi pia kuwaposha kabisa.

Well said mkuu, hata mimi nawa salute SANA SANA walio buni mfumo huo waliona beyond their noses, bila ya kuweka mtego huo Hillary angeshinda na Dunia ingewekwa kwenye msuko suko wa kufumuka WW3 under Killary Admin - Mungu ashukuriwe kwa kutuhepusha na majanga ambayo yange sababisha na Mama huyo na kundi lake hatarishi - watu awajui tu.
 
Hata huyu naye aliyetoa kauli hii hapa chini ni shoga kama au immigrant or both. Muwe mnauliza badala ya kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote. Wamarekani wengi ambao si mashoga na wala si wahamiaji wanaupinga huu mfumo pia. Tangu lini Al Gore amekuwa shoga au undocumented immigrant!? Tangu lini Barbra Boxer amekuwa shoga au undocumented immigrant!?

CC: Bukyanagandi

Donald J. TrumpVerified account
‏@realDonaldTrump 6 Nov 2012

The electoral college is a disaster for a democracy.

Hilo ndiyo tatizo kubwa sana. Waliouweka huo mfumo waliona mbali sana, si rahisi mfumo kuondolewa eti sababu mashoga na undocumented immigrants wanaandamana.
Ushabiki huwa unafinya uelewa wa wengi pia kuwaposha kabisa.
 
mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........

ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........
Kweli mkuu. Electoral votes imewekwa kuyachunga maslahi ya yale majimbo madogo kama Vermont na Wyoming na kuyapa sauti kutokana na ukubwa wa majimbo makubwa kama Texas na California.

Pia bila electoral votes hakutakuwa na United States, itasambaratika kama USSR. EV inatumika kuyashikanisha majimbo ya US ili jimbo moja lisionakane liko na mamlaka kuliko mengine.

Campaign ya Hillary ilifanya mzaha kwa zile swing States, turn out yake ilikuwa chini, demographic yake -white women walipigia Trump kura, Trump alipata kura chache kuliko Romney na Mccain lakini alishinda Hillary kwa asilimia kubwa kule mashinani kuliko Romney na Mccain walivyo mshinda Obama alafu Hillary akapoteza gatuzi 700 ambazo Obama alishinda mara mbili. Hillary hakupaswa kujitosa uwanjani, wakati ulikuwa wa watu wa turn out candidates kama Bernie Sanders
 
We acha tu, sasa anataka equal time on SNL! What does that mean? SNL miaka hii minne itavuta sana umati wa watu ha sa kama Alec Baldwin taamua kuendelea kuwa Trump wa SNL. Sasa watu wameshajua kwamba hapendi kuzomewa basi subiri uone jinsi atakavyozomewa pale atakapofanya maamuzi ambayo wengi hawayaungi mkono. Mie nadhani huyu jamaa huwa halali na mwili wake umeshazoea kutolala. Nilisoma mahali wakati wa kampeni za Urais hasa hizi wiki za mwisho alikuwa akiwaomba wapambe wake wakae pamoja usiku wa manane kupiga gumzo au kucheza karata kwa kutotaka kuwa pekee yake na labda kuishia kutweet katika saa zake zile za kutweet. Nadhani huu ndiyo muda ambao wapambe wake walimpora account yake ya twitter hivyo akakosa kitu cha kumkeep busy.

Donald Trump says 'SNL' was 'biased' and asks for 'equal time for us'

Kazi kweli, angekuwa yeye kazomewa naona Broadway shows zingefutiliwa mbali kwa order ya Rais..
Umeona tweets zake, halafu in the wee hours alivyowakomalia the Times walivyomkosoa.
Yaani, he has to get even, he can't let some' n go.
 
  • Thanks
Reactions: kui
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom