Manzi yo mukama
New Member
- May 4, 2015
- 3
- 0
Kuna kampuni inayoitwa ABM TANZANIA LIMITED ambayo imeingia mikataba wa kupima maeneo ya mashamba vijijini huko Bagamoyo ili kuzalisha viwanja vilivyo sajiliwa. Baada ya kupima mmiliki anachukua asilimia 60% na hiyo kampuni inachukua asilima 40% ya jumla ya ukubwa wa viwanja vinavyozalishwa. Wanadai kuwa hiyo ni kwa ajili ya gharama za upimaji.
Wapendwa kuna mtu yeyote ambaye anaifahamu kampuni hii. Nimejaribu ku google hilo jina la kampuni sijapata chochote. Ningeomba msaada kabla sijaingia mkataba. Asanteni
Wapendwa kuna mtu yeyote ambaye anaifahamu kampuni hii. Nimejaribu ku google hilo jina la kampuni sijapata chochote. Ningeomba msaada kabla sijaingia mkataba. Asanteni