Abiria wamgomea dereva wa al-saedy high class t322 ddp kisa mlevi kutoka kilombero-dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria wamgomea dereva wa al-saedy high class t322 ddp kisa mlevi kutoka kilombero-dar

Discussion in 'Matangazo madogo' started by SYENDEKE, Aug 19, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf na siku tatu nilikuwa kilombero kwa shughuli mbalimbali sasa leo nimemaliza shughuli zangu nimeamua kuanza safari mapema asubuhi nilitaka gari ya asubuhi sana ili niweze fika mjini mapema sasa nikakosa gari ya kwanza ambayo ni MORO BEST ikawa imejaa nika bahatika kupata nafasi gari ya Alsaedy T322 DDP

  sasa hii gari wameandika inatoka saa 12:10 asubuhi tukawa tumewahi kama kawa sasa nimefika kituoni 2mekaa sana kituoni baadae ilibidi abiria 2mind nakuanza kuhoji kinacho endelea pale baadae tetesi zikasambaa kuwa hakuna dereva dereva anapigiwa cm hapokei baada ya lisaa dereva akaja na bodaboda amelewa mbaya full kupesuka eti anataka kuendesha basi yaani inaonekana ni mtu aliye kesha anakunywa pombe. Baada kuona vile ikabidi abiria tugome kupanda kwenye gari na apigiwe simu tajiri na SUMATRA na polisi baadae baada ya masaa3 akaja dereva mwingine tukafanikiwa kuondoka na tulivyo fika mikumi tukamuacha dereva chapombe polisi mikumi halafu tulivyo fika morogoro ikaonekana dereva anae endesha ni KISHOKA hana uzeofu wowote na Bosi wa gari alikuwa amewaset polisi ili gari iweze fika morogoro. sasa ilivyo fika morogoro ikabidi watubadilishie gari la BM COACH T618 BQX nawakasingizia kuwa gari mbovu

  kwanza hizi gari zimeandikwa high class lakini hazina ubora wowote cozi zinajaza kama mabasi ya mbagara vile halafu zinapita kwenye mizani na wala sijui hawa watu wa mizani wanapima nini haswa wakati watu walio simama ni nusu ya walio kaa.

  Hoja yangu hapa kuna kipimo cha urevi kwenye udereva cozi inavyo onesha kwenye mabasi ya ALSAEDY na wengine ni kawaida kukesha na pombe then kuendesha magari ndo maana ajari hazipungui bongo kwa uzembe wa watu fulani ni hayo2
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Safi. Taratibu tutafika. Lakini tukumbuke - kazi ya mizani ni kulinda barabara, abiria tujilinde WENYEWE.
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa maana ya kuwa magari yasizidishe ujazo unao takiwa ndo maana yanapimwa sasa lile gari lilizidi ujazo unao takiwa barabarani zaidi ya kuharibu barabarani
   
 4. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kama abiria mlikuwa mnajua limezidisha mzigo, halafu mkasubiri hadi mfike kwenye mzani, basi si ajabu kila siku tunaishia kusema 'Mungu aliwapenda zaidi'. A blind nation.
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tunamshukuru Mungu mmefika salama hapo Morogoro ingawa dereva alikuwa deiwaka.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  uwiiii......kumbe T 322 DDP tayari.....nimenunua mkebe mang'anyu nasubiri CDM.....nimepitwajeeee.....
  ila hongera kwa kufika salama.....siku nyingine jaribu Hood......
   
 7. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mungu umwema 2mefika dar
   
 8. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HOOD haikuwepo leo walibadiilisha ruti
   
 9. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,818
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  hongera mmefanikisha safari yenu salama maana mda huu tungekua tunaimba tumpeleke tumpeleke naani syendeke ametutoka
   
 10. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  masihala hayo please nakuomba ufute kauli au utoke nje
   
Loading...