Abiria kauzu

Abiria kauzu

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Katika basi Mama mmoja alitak akumunyonyesha mtoto mtoto akakawa hataki mama akaona nibora amtishie mtoto ili aweze kunyonya kwani safaari ilikuwa bado ni ndefu!Mama akamwambia mtoto kama hunyonyi na mpa anko pembeni anyonya!Hapo anamtaja abiria waliokuwa wamekaa nakiti kimoja,Mtoto kusikia anapewa anko nyonyo yake akaanza kunyonya kidogo akaacha,Mama akamtishia tena ntampa anko nyonyo kama haunyonyi basi mtoto akanyonya safari hiiakacha kunyonya!Akamtishia tena mtoto safari hii yule bro aliyekaa pembeni akasema we mama basi uwenamsimamo unajua nimepitiliza vituo vinne ebu sema ukweli wako je unanipa ninyonye??au mimi nishuke kituo kinachofuata??
 
masikini jamaa alikuwa na njaa
 
Yaani wewe ndio umenichekesha kuliko hata hicho kichekesho chenyewe! Sijui ni hiyo avatar yako? au hicho ulichosema!

Kweli mwaJ. IrDA ndo katoa kichekesho zaidi kwa kusema jamaa alikuwa na njaa. Pengine angefafanua ni njaa ya aina gani kichekesho kingepungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom