Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Wakisha πŸ˜‚watumia wanaenda kuwaita "masikini"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ŒπŸ€¨πŸ˜‘
 
Wakisha πŸ˜‚watumia wanaenda kuwaita "masikini"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ŒπŸ€¨πŸ˜‘
Inasikitisha Sana

Kambaya anazurura na kikundi chake kufanya Sanaa sasa ataenda kumtapeli Zitto

Ila kwa Chongollo hatathubutu!
 
Katiba yao inasema chadema ni kikoba atakayeleta mpunga hauwachwi rejea lowassa na sumaye bwashee!
 
Inasikitisha Sana

Kambaya anazurura na kikundi chake kufanya Sanaa sasa ataenda kumtapeli Zitto

Ila kwa Chongollo hatathubutu!
Chongolo ndiye kamtuma kwenda kujaribu kuingia chumbani kaishia sebuleni kapewa maji ya kunywa kisha kaonyeshwa mlango wa kutokea
 
Kama CCM waliwahi kutuletea Rais kama Jiwe na wewe bado unabinuka kukisifu hicho chama basi jua tatizo linaanzia kwako
 
So umeona kumbe chama hakihitaji mtu style yake, aende akaanzishe chama chake kama Zito
 
CHADEMA ni chama cha mtu na familia yake....

Hahojiki..

Kambaya njoo CCM....tukutane huku Mandi nikupe kadi....
Kwani lazima kila mtu kujiunga CDM? Kama hukipendi chama kaa pembeni tu hakuna wa kuja kukulazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…