Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Umekuja Leo unaanza kumshambulia mwenyekiti chama. Huyo wameshtukia ni tapeli.
 
Aende CCM kelele nyingi wakati ni liability. Yeye aseme amefika chadema amekuta watu hawana time naye.
 
Asijaribu kuja CCM labda akidhania atapata uongozi, CCM vigeugeu hatuwataki, ila akija kama mwanachama wa kawaida karibu.

Na nyie CHADEMA mkome mnapokea takataka za kisiasa sana.
CHADEMA walimkubalia lakini hawakuwa na time naye ndio maana kaondoka. Alitaka waanze kumpapatikia, Sasa kakuta watu wapo busy ndio kaamua kuondoka.
 
Mmeshindwa miaka 60 ndo muweze leo.acha kujifariji.zama zakudanganya watu zilishaisha.
 
CHADEMA ni chama cha mtu na familia yake....

Hahojiki..

Kambaya njoo CCM....tukutane huku Mandi nikupe kadi....
Chama cha mtu na familia yake alafu mnakiogopa hivyo?kuweka tu tume huru ya uchaguzi hamuwezi.alafu unakuja kubwabwa hapa.
 
Kweli kambaya aende CCM apewe ukatibu mkuu, maana Katibu mkuu wa Sasa hivi Kama hayupo kabisa.
Mbowe: Kambaya ataongoza kampeni ya kuimarisha Chama Kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara!
 
Udikteta upi?. Mtu Hana hata miezi mitatu kwenye chama kelele nyingi. Aende CCM kwa mafisadi.
Tatizo kuna watu wanafikiri siasa nikupiga tu domo ela iingie.wanataka wakijiunga kwenye vyama wapige tu domo badala yakufanya kazi.Wengine wanataka kua chawa.wakati ni ujinga mtupu kuendekeza maisha ya aina hiyo.
 
S
Aanzishe chama cha kidini cha kisiasa
 
Chama cha mtu na familia yake alafu mnakiogopa hivyo?kuweka tu tume huru ya uchaguzi hamuwezi.alafu unakuja kubwabwa hapa.
Waweke kwanza ndani ya CHADEMA kusikokuwa na usawa wa kisiasa.....Sultan Mbowe!
 
CHADEMA ni vema iwe makini inaposajili wanachama wapya.

Kwa mfano Mh. Kambaya kaja na watu wake 600 sasa hao wataitii CHADEMA au Mh. Kambaya?

Pili, unasajili wanachama wapya na kuwapa Vyeo wakati akina Yericko wanasota tu kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi unadhani watawafurahia?

Halafu huu utaratibu wa kusajili vikundi umeanza lini na kwa sheria gani?

Mungu awabariki CHADEMA!
 
Kuihama CCM ! Nehi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…