Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Huyu kuna alichokifuata Chadema baada ya kuona dalili za kukikosa ameamua kukimbia mapema.
 
Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho...

Asijaribu kuja CCM labda akidhania atapata uongozi, CCM vigeugeu hatuwataki, ila akija kama mwanachama wa kawaida karibu.

Na nyie CHADEMA mkome mnapokea takataka za kisiasa sana.
 
Aliyekuwa kiongozi maarufu wa CUF na kisha mwezi wa tatu kujivua nyasifa zote ndani ya chama hicho na kukimbilia Chadema bwana Maulidi Kambaya...
CHADEMA ni chama cha mtu na familia yake....

Hahojiki..

Kambaya njoo CCM....tukutane huku Mandi nikupe kadi....
 
[emoji2956]
 
Atabaki Mbowe na yule dada mnyakyusa RBC Erthyrocyte
 
Ndio umeona CCM ni chama.
Cha Mambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…