Jamani Majura ni jina la ukoo (kabila) na maarufu makwetu (Ujitani) kama vile kina Mwita huko Tarime au Mosha huko kimilanjaro.. Kwa hiyo msishangae watu 100 kuwa na jina hilo na hawana udugu..
watajuana huko huko, halafu iwe ni marufuku kuja upinzani, kwani tabia yao wakishakatwa huko ndio wanajifanya kulalamika ohoooo, pesa inatumika sana!!! tujifunze toka kwa shibuda.
Tafadhali mkuu Majura si rahisi kuwa Mhaya au una maana Majula.. maana hili ni jina la kiukoo la kabila la Wajita wa mkoa wa Mara..Huyo jamaa ni mtoto wa marehem idrisa abdala majura kutoka kiziba sehemu Moja inaitwa Gera,majura ni mhaya aliyekulis zanzibar
Tafadhali mkuu Majura si rahisi kuwa Mhaya au una maana Majula.. maana hili ni jina la kiukoo la kabila la Wajita wa mkoa wa Mara..
Huyo jamaa ni mtoto wa marehem idrisa abdala majura kutoka kiziba sehemu Moja inaitwa Gera,majura ni mhaya aliyekulis zanzibar
Ameanza lini kupenda ccm Majura? Duh kweli siasa hazitabiriki