daniel merengo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 277
- 98
Ndo maana Wasira alimnyanganya mke
Kama mlimchagua ili awe shukrani basi imeshakula kwenu!!
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
Naanza kupata mashaka na watu walio huko jumuia ya wazazi kama wako sawa kichwani au jumuia hiyo ni mkusanyiko wa watu wenye hitilafu ya fikra. Yupo na yule mwingine naye anaongea kabla ya kufikiri hapa JF.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mkuu huna haja ya kuwa na shaka it is proven kwamba hawako sawa kumkichwa!Naanza kupata mashaka na watu walio huko jumuia ya wazazi kama wako sawa kichwani au jumuia hiyo ni mkusanyiko wa watu wenye hitilafu ya fikra. Yupo na yule mwingine naye anaongea kabla ya kufikiri hapa JF.
Sent from my iPad using JamiiForums
Ndo maana Wasira alimnyanganya mke
Haaaaa haaaaa! Mbavu zangu mie, maccm ni full kudhalilishana.