Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

Nasikia jamaa sasa amechoka sana kiuchumi, sasa anaishi kama shetani badala ya malaika.
 
Afanalek ,Zombe damu za aliowauwa na aliowadhulumu zimeanza kujibu
Kaanza kuomba bia na muda si mrefu ataanza kuokota makopo
 
Aisee mpaka mstaafu anaconfirm kuwa jamaa yetu alikua na mtandao wa kuiba magari. umefika muda sasa jamaa aje atuambie ukweli sasa tumechoka kudanganywa kama watoto. Asipotuambia ukweli tuchague mtu mwingine.
 
Mwizi lazima akamatwe sasa kwa nini mpaka sasa hayupo mikonon mwa sheria!?
Mi naona hakuna namna mkuu ujinyonge mwenyewe tu kabla wadau hawajashikilia madaraka
 
kama ni kweli alikua anapiga hayo matukio basi anakosa sifa ya kuwa mbunge; haaminiki uaminifu ni sifa muhimu kwa mtu yeyote anayeshika ofisi ya uma.
 
Ila sheria si zinasema kuwa anayeshukiwa juu ya kesi yoyote ya jinai atakuwa amekosa sifa ya kugombea madaraka yoyote, sasa kama walilijua la Lema kwa nini mpaka sasa anaendelea kuwa madarakani ilhali ni mwizi!?
 
Akijinyonga mtu wa aina hii hakuna hasara kwa taifa,atakuwa shujaa wa watumishi waliokosa utu,walioshindwa kufuata maadili ya kazi....yeye mwenyewe ni kielezo cha uovu wa watawala na matumizi mabaya ya dola.

Kama watu wa aina hii watajinyonga basi haebu tukaze mwendo wa mabadiliko ili siku moja tuwe na taifa lenye viongozi na dola inayoheshimu utu na haki
Aisee!
 
Siku moja utarud tena.
 
IMG_7141.JPG

Aliyekuwa Kaimu Kamishna wa wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Abdalah Zombe​

Katika maelezo yake Zombe alisema kuwa anamshangaa Mbunge wa Arusha mjini,ambaye pia ni Waziri Kivuri wa Mambo ya Ndani Godbles Lema, kwa kitendo chake cha kuhoji kuhusu uhalali wa hukumu ya Zombe katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge. Zombe alisema kuwa Lema, hajui katiba ya Tanzania. Akifafanua alisema kuwa Lema kama mbunge/Bunge ni muhimili wa Dola unaojitegemea. Mahakama pia ni muhimili wa Dola unaojitegemea. Hivyo alishangaa kitendo cha Lema (MB) kuhoji maamuzi halali ya Mahakama.

Akiongeza alisema kuwa Wbunge wa CHADEMA hawajui watendalo bungeni na aliapa kuwa endapo Chadema watapata ridhaa ya kuongoza nchi, yeye Zombe atajinyonga. "Endapo kama CHADEMA watatawala nchi hii, mimi nitajinyonga kabisa" Hiki ni chama cha hovyo na wabunge wake ni wa hovyo. Hawaijui katiba,alisema.

Source: Hisani ya Mjengwa Blog.

Sehemu ya hotuba ya Mheshimiwa Godbless Lema Mbunge wa Arusha aliyoitoa bungeni kama waziri kivuli akiwakilisha bajeti mbadala toka kambi ya upinzani kama ifuatavyo:

Lema ajibu
He!!! Katoka wapi huyu? Yaani analeta archives halafu na yeye mwenyewe ni archive. Aende makumbusho huyu.
 
nafuu ajinyonge maana muuwaji huishi na madhalimu..
atawezaje kuishi na wenye haki, umma, mafuriko..
Zombi alipaswa awe amenyongwa na sio kusubiri udhalimu ufedheheke ndio ajinyonge..
NA MIMI SIKU ZOMBE AKIJINYONGA NAAPA NA MUNGU ALIYE JUU, NAKULA PILAU KUKU.
 
Kamanda Ben uko wap wenzako huku wanakula bata tu kwenye michango ya Lissu
Si vema kushangia masahibu yanayompata mwenzako, tena hasa kama.madahibu hayo yametokana na mawazo yake pasipo kuvunja sheria. Tuwe na utu hata kidogo kwa mtu huyu ambaye mpaka sasa anasifa kuu mbili marehemu au mfichwa!...

Tuweke utu kwanza kabla ya shabiki zetu za kisiasa. Ben ni Mtanzania mwenzetu tofauti ni kwamba yeye yupo CHADEMA na sie tupo CCM.
 
kwan amekutwa na nn?
Si vema kushangia masahibu yanayompata mwenzako, tena hasa kama.madahibu hayo yametokana na mawazo yake pasipo kuvunja sheria. Tuwe na utu hata kidogo kwa mtu huyu ambaye mpaka sasa anasifa kuu mbili marehemu au mfichwa!...

Tuweke utu kwanza kabla ya shabiki zetu za kisiasa. Ben ni Mtanzania mwenzetu tofauti ni kwamba yeye yupo CHADEMA na sie tupo CCM.
 
Akijinyonga mtu wa aina hii hakuna hasara kwa taifa,atakuwa shujaa wa watumishi waliokosa utu,walioshindwa kufuata maadili ya kazi....yeye mwenyewe ni kielezo cha uovu wa watawala na matumizi mabaya ya dola.

Kama watu wa aina hii watajinyonga basi haebu tukaze mwendo wa mabadiliko ili siku moja tuwe na taifa lenye viongozi na dola inayoheshimu utu na haki
Ben ndio umezimika kama mshumaa? Siku hizi kuna Ninja anatishia kuvua nguo hadharani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom