Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
weka maandiko ya kukataza
daaa uroho mmbaya sana..
duh . . . .
sio uroho, nilikua sijui mkuu..
kamchape..!kanikata stimu kweli huyu dada sijui nikamfanyaje...
kamchape..!
Km hujui haina maana coz kiroho hauko upande wa Mungu ndo maana hata hukuitilia maanani juma kuu tangu jana....
Km ungekuwa na ratiba ya church usingesahau
....jikatae na "GRANTS" kabisa ukate mzizi wa fitna....
Good Friday....
ndo mpango wangu, namsubilia apa akiwa anafunga.. ka vp njo tumshughulikie wote.!!
Km hujui haina maana coz kiroho hauko upande wa Mungu ndo maana hata hukuitilia maanani juma kuu tangu jana....
Km ungekuwa na ratiba ya church usingesahau
embu tuacheni utani jamani, hivi ni kweli ukila nyama leo unapata dhambi?
Maneno ya ukweli sana haya,Km hujui haina maana coz kiroho hauko upande wa Mungu ndo maana hata hukuitilia maanani juma kuu tangu jana....
Km ungekuwa na ratiba ya church usingesahau