sasa analeta ubishoo hata kwenye ibada mbona kifua wazi?
Hivi kwenye ibada wanawake wanachanganyika na wanaume kweli?
Kama angekuwa mwanamke, anheuwawa kwa mawe.
Auwawe kafanya nini?
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
nashukuru kwa jibu maana nilikuwa sijui hiyo,ila mimi milihisi kama yeye amefanya kama tabia ya wasanii ilivyo.No! Sio ubishoo kwa mwanamme waweza kufanya ibada hata kifua wazi, uislam unahesabu uchi wa mwanamme ni kuanzia kitovu hadi magotini.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Akihiji kifua wazi.
Kuua kwao ni kama kuua mbu.