Aaminiye ataokolewa....,

Aaminiye ataokolewa....,

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
469
Reaction score
639
uliposimama angalia usianguke
IMG_20180824_132832.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mathayo 7:16 "Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?", au 1Yohana 4:1 "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani."

Sitaki kumhukumu mtu lakini ni vyema tukaizingatia mistari hii...
 
wapigaji tu kama ilivyokua kwa forex trading.

mchungaji anavaa modo vyeni shingoni kiduku hikooooo


hapana nasisitiza ni wapigaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ubaya gani kuvaa cheni? Mbona askofu wetu wa KKKT anavaa bonge la cheni kisha ana ing'iniza msalaba kwa chini yake na kupanda madhabahuni? Cheni ingekuwa ni kitu kibaya, basi askofu wetu asingevaa.
dallu.jpg
images (7).jpeg
 
Mmh hawa vijana, siwezi kukubali kuombewa na masanja
Haaaaaaaaahaaaaaa kwann ndg?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
wapigaji tu kama ilivyokua kwa forex trading.

mchungaji anavaa modo vyeni shingoni kiduku hikooooo


hapana nasisitiza ni wapigaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtawatambua Kwa Matendo Yao
Mathayo 7:16 "Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?", au 1Yohana 4:1 "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani."

Sitaki kumhukumu mtu lakini ni vyema tukaizingatia mistari hii...
hahahaha mkuu account yako imeungua lini????
mi mwenyewe hivyo mkuu, simdharau ila naona angebaki kuwa muumuni tu ingekuwa bora

Mbona tarehe ilishapita?
 
Mungu hakutuma watu wawe wafanya miujiza na ishara. Bali Wakauhibri neno sio ishara. Ishara ni Bonus tu au background kusupport neno.

naona kama simulitiniazi eqwesheni ishageuzwa ili watu wale vichwa kirahisi.
cc Mathayo 28:26-20
 
Back
Top Bottom