Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
Ni Video hiyo,
jamaa anambana shingo kwa mlango wa carry on compartment abiria mwenza.
Fungua vizuri uisome hiyo ANIMATION...Husomeki
Fungua vizuri uisome hiyo ANIMATION...Sijakusoma
Aka, kumbe mpaka uifungueFungua vizuri uisome hiyo ANIMATION...
Mkuu hiyo ilitaka kunitokea siku moja, lakufanya abiria mnaosafiri na ndege mnaombwa kuwa waangalifu wakati wa kufunga COC.